Maelfu ya raia wa CAR wamiminika Congo wakitoroka mapigano

Maelfu ya watu wanaotoroka mapigano makali yanayoendelea katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wanamiminika katika nchi jirani ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo baada ya ghasia zinazochochewa na uhasama wa kidini kuzuka katika mji wa mpakani wa Bangassou. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wakimbizi UNHCR limesema mmiminiko huo wa wakimbizi More...

by jerome | Published 6 days ago
By jerome On Tuesday, May 16th, 2017
0 Comments

Upinzani Kenya watishia kususia uchaguzi mkuu

Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, na vinara wa mrengo wa upinzani wa NASA kuhusu utangazaji wa matokeo rasmi ya kura za Urais. IEBC imeijibu mrengo wa upinzani wa Nasa kufuatia vitisho More...

By jerome On Tuesday, May 16th, 2017
0 Comments

Marekani yaituhumu Syria kwa kuchoma wafungwa gerezani

Marekani imeituhumu serikali ya Syria kwa kujenga sehemu ya kuchoma maiti katika jela ya kijeshi iliyopo karibu na Damascus ili kuficha mauaji ya halaiki ya wanaoshikiliwa na serikali. Wizara ya mambo ya nje ya More...

By jerome On Monday, May 15th, 2017
0 Comments

KOREA KASKAZINI YAFANYA TENA MAJARIBIO YA KOMBORA

Korea Kaskazini imedai kwamba kombora la masafa marefu ililolifanyia majaribio jana ni kombora jipya linaloweza kubeba kichwa cha nyuklia. Kombora hilo lililorushwa lilienda angani kwa urefu wa kilomita 2,000 na More...

By jerome On Monday, May 15th, 2017
0 Comments

JULIO BORGES ALITAKA JESHI LA VENEZUELA KUANZISHA MAZUNGUMZO

Spika wa Bunge lenye wapinzani wengi nchini Venezuela, JULIO BORGES amelitaka jeshi la nchi hiyo kuanzisha mazungumzo na kusaidia kupata suluhu ya mgogoro wa kisiasa. Jeshi linamtii rais wa nchi hiyo NICOLAS MADURO More...

By jerome On Wednesday, May 10th, 2017
0 Comments

Trump amfuta kazi mkurugenzi wa FBI James Comey

Rais Donald Trump amemfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi la FBI kutokana na hatua yake ya kuliangazia suala la barua pepe za aliyekuwa mgombea wa uraisi wa chama cha Democrat Hillary Clinton, mamlaka imesema. Ikulu More...

By jerome On Wednesday, May 10th, 2017
0 Comments

Msichana wa Chibok akataa kurudi nyumbani

Mmoja wa wasichana wa Chibok waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria ameamua kusalia na mumewe badala ya kuachiliwa huru kulingana na msemaji wa rais wa Nigeria. Alitarajiwa kuwa miongoni mwa kundi More...

By jerome On Tuesday, May 9th, 2017
0 Comments

Mjadala wa wagombea urais Kenya kufanyika Julai

Vyombo vya habari nchini Kenya vitaandaa mijadala mitatu ya wagombea urais mwezi mmoja kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini humo. Mijadala hiyo itafanyika tarehe tofauti za mwezi Julai. Mjadala wa kwanza More...

By jerome On Wednesday, May 3rd, 2017
0 Comments

Waandishi wa habari Tanzania waminywa

Ripoti ya shirika la waandishi habari wasio na mipaka RSF inasema Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania umeminywa chini ya utawala wa Rais John Magufuli na kuwaacha wanahabari wakijawa na hofu. Shirika hilo More...

By jerome On Wednesday, May 3rd, 2017
0 Comments

Meli ya kivita ya Korea Kusini yaelekea Somalia

Meli ya kivita ya Korea Kusini imetumwa katika pwani ya Somalia kushiriki katika mazoezi ya operesheni ya kijeshi ya kukabiliana na mabaharia ambao wameanza kuteka meli baada ya miaka kadha ya utulivu. Meli hiyo More...