Mwili wa Jonas Savimbi kufukuliwa na kupewa maziko mazuri Angola

Mwili wa aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola Jonas Savimbi utafukuliwa kabla ya mwisho wa mwaka huu ili apate kupewa maziko mazui, kwa mujibu wa chama chake cha Unita kilichonukuliwa na shirika la habari la AFP. Savimbi aliuawa na vikosi vya serikali tarehe 22 Februari mwaka 2002 na kuzikwa siku iliyofuatia kwenye mkoa ulio mashariki wa Moxico. Wiki More...

Aliyekuwa rais maskini zaidi duniani akataa malipo ya uzeeni
Aliyekua rais wa Uruguay Jose Mujica, aliyejulikana kama rais maskini zaidi duniani amesema hatachukua malipo yake ya uzeeni tangu aanze kuhudumu kama seneta. Mujica aliacha kazi ya useneta mnano Jumanne, kiti More...

Dereva wa mbunge Bobi Wine auawa kwa kupigwa risasi Uganda
Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine anadai kuwa dereva wake ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi akiwa ndani ya gari la mbunge huyo. Mbunge huyo wa Kyadondo aliandika kwenye mtandao wa More...

Cameroon kuchunguza video mpya ya mauaji
Msemaji wa serikali ya Cameroon, Issa Bakary Tchiroma, ameahidi kwamba uchunguzi utaanzishwa kuhusu video mpya iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii ambayo inaonyesha mauaji yanayodaiwa kutekelezwa na jeshi katika More...

HRW yataka uchunguzi ufanyike dhidi ya mauaji ya Misri mwaka 2013
Shirika la kimataifa la kutetea haki binadamu la Human Rights Watch limetaka kufanyika uchunguzi dhidi ya mauaji ya watu wengi waliouawa na vikosi vya usalama wakati wa maandamano ya amani yaliyofanyika nchini More...

Korea Kusini na Kaskazini kuwa na mkutano wa kilele Septemba
Korea Kaskazini na Korea Kusini jana zimetangaza zimefikia makubaliano kwa ajili ya mkutano wa kilele utakaozishirikisha nchi hizo mbili utakaofanyika mwezi ujao katika mji mkuu wa Korea Kaskazini Pyongyang. Huo More...

Watu 39 wauawa Idilib Syria
Kiasi ya watu 39 wameuawa jana Jumapili miongoni mwao watoto kufuatia mripuko uliotokea katika ghala la silaha katika kijiji cha Sarmada kilichopo katika jimbo la Idlib hiyo ikiwa ni kwa mujibu wa shirika la waangalizi More...

Wanajeshi wa Nigeria wagoma kwenda vitani kukabiliana na Boko Haram
Kikosi kimoja cha majeshi ya Nigeria kimefyatua risasi angani kupinga amri ya kwenda mstari wa mbele kukabiliana na wanamgombo wa Boko Haramu. Vyombo vya habari vya nchi hivyo vimeripoti kuwa askari walikataa kupanda More...

Ni miaka 20 tangu mashambulizi yatokee kwenye balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi
Watu nchini Kenya na Tanzania wanaadhimisha miaka 20 tangu yatokee mashambalizi kwenye balozi za Marekani mijini Nairobi na Dar es Salaam yaliyofaywa na kundi la al-Qaeda, Zaidi ya watu 200 wakiwemo raia 12 wa More...

Iran na Marekani zalaumiana huku vikwazo dhidi ya Iran vikitarajiwa kuanza kutekelezwa.
Vikwazo ambavyo Marekani imeviwekea Iran vinatarajiwa kuanza kutekelezwa leo, huku viongozi wa Iran na Marekani wakilaumiana. Baada ya Trump kusema milango yake iko wazi kwa mazungumzo, lakini akaiambia Iran kubadili More...