Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo. Nchi ya Cuba ni mojawapo More...

by jerome | Published 6 days ago
By jerome On Monday, August 7th, 2017
0 Comments

ZOEZI LA KUGAWA PEMBEJEO MKOANI MTWARA LAWA CHUNGU

Baada ya serikali kuamua kutoa bure pembejeo ya salfa kwa wakulima wa Korosho ili kuwapa motisha wa kuboresha mashamba yao na kuongeza uzalishaji, jambo hilo limekuwa chungu kwa baadhi ya watendaji wa vijiji na More...

By jerome On Thursday, July 27th, 2017
0 Comments

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA MAANDAMANO NCHINI VENEZUELA

Watu wawili wamefariki dunia nchini Venezuela wakati wa mgomo wa saa 48 ulioandaliwa na upinzani kupinga uchaguzi wa wabunge jumapili watakaosimamia katiba mpya, itakayomuweka madarakani Rais Nikolas Maduro Kwa More...

By jerome On Wednesday, July 12th, 2017
0 Comments

Wakulima Kilosa walia na mashamba pori

Kumekuwepo na sintofahamu kwa wakulima wa vijiji vya Mateteni,Mambegwa na Mvumi wilayani Kilosa mkoani Morogoro  juu ya mashamba yasiyoendelezwa kutokana na wananchi kuendelea kukodishiwa na wawekezaji kwa ekari More...

By jerome On Wednesday, July 5th, 2017
0 Comments

MANISPAA YA MPANDA YAELEMEWA NA TAKA.

Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi inakabiliwa changamoto kubwa katika swala zima la usafi wa mazingira kutokana Uzalishaji wa taka ngumu kwa siku kiasi cha Tani 70.5 huku ikiwa na uwezo wa kuzoa Taka zipatazo tani More...

By jerome On Saturday, July 1st, 2017
0 Comments

Sheria Mpya ya Madini izingatie Maslahi na Haki ya Wazawa

Kuelekea Kuundwa Sheria Mpya inayohusu Rasilimali ya Madini, Mafuta na Gesi, Wadau Kutoka Sekta Tofauti Hapa Nchini, Wametoa Maoni yao Kuhusu Miswada Mitatu ya Kisheria iliyowasilishwa na Serikali Ndani ya Bunge More...

By jerome On Wednesday, June 28th, 2017
0 Comments

Wasaidizi wa kisheria waishauri serikali kutoa elimu kwenye mabaraza ya ardhi.

Wasaidizi wa kisheria nchini wameishauri serikali kuangalia namna ya kuyajengea uwezo kielimu  mabaraza ya ardhi juu ya uendeshaji  kutokana na  kuelezwa  kuchangia kuchochea migogoro ya ardhi katika jamii More...

By jerome On Friday, June 9th, 2017
0 Comments

VIJANA WATAKIWA KUACHANA NA MATUMIZI YA MADAWA

    IMEELEZWA  kuwepo  kwa vitendo vya matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na ulevi wa kupindukia  hususan kwa baadhi ya vijana hapa nchini  vinachangia kwa kiasi kikubwa  kurudisha nyuma maendeleo More...

By jerome On Saturday, June 3rd, 2017
0 Comments

WAZIRI MKUU AAGIZA KILOSA WAILIPE GAIRO DENI LA0

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Clifford Tandari aitishe kikao na uongozi wa Halmashauri ya Kilosa na kupata kauli yao ni lini watalipa zaidi ya sh. milioni 210 wanazodaiwa More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Mkazi wa Shinyanga akamatwa na sare za JWTZ.

Jeshi la Polisi Mkoani Tabora,linamshikilia mkazi wa Kitangili Mkoani Shinyanga,Francis Martin (31) kwa kukutwa na sare za jeshi la wananchi alizokuwa anazitumia kutapeli wananchi kuwa anawatafutia vijana ajira More...