TEKNOLOJIA AMBAYO ITASAIDIA CHANJO YA WATOTO KUTOLEWA MARA MOJA YABUNIWA

Teknolojia ambayo huenda ikapelekea chanjo ya watoto kutolewa mara moja kwa kila mtoto imebuniwa na watafiti nchini Marekani. Chanjo hiyo itakayotolewa mara moja kwa mpigo itashirikisha dawa zote katika sindano moja ambazo zitakuwa zikifanya kazi kwa muda utakaohitajika ili kumkinga mtoto na magonjwa yanayolengwa. Teknolojia hiyo imeonakana kufanya More...

by jerome | Published 4 years ago
By jerome On Monday, August 14th, 2017
2 Comments

WATANZANIA WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA TIJA

Watanzania wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa tija ikiwemo kufanya biashara  na kujifunza mambo mbalimbali ya kuwajenga badala ya kutumia lugha za uchochezi  pamoja na kuwatukana viongozi wa serikali More...

By jerome On Friday, June 2nd, 2017
2 Comments

RAIS MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA NATIONAL INTERNET DATA CENTER

  Rais Magufuli ametoa agizo hilo alipotembelea Kituo cha Taifa cha Kuhifadhi Kumbukumbu (National Internet Data Center) kilichopo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam na kisha kuzindua mfumo wa ukusanyaji wa More...

By jerome On Thursday, May 25th, 2017
2 Comments

NEW ZEALAND YARUSHA MARA YA KWANZA ROKETI YA MASAFA MAREFU KWENDA JUU

  Kampuni moja ya Marekani imerusha roketi kwenda umbali wa masasa marefu angani kutoka nchini New Zealand ambayo ni ya kwanza kutoka kituo cha kibinafsi. Roketi hiyo iliondoka kutoka rasi ya Mahia katika More...

By jerome On Monday, January 16th, 2017
2 Comments

WANAUNZI WATORO KUDHIBITIWA NA KIMTANDAO.

Na JAMES LYATUU. Taasisi ya Econnect imebuni mfumo wa elimu unaorahisiha mawasiliano baina ya shule na mzazi au mlezi katika kufuatilia taarifa na maendeleo ya mtoto awapo shuleni kupitia njia ya simu za mkononi. Mkurugenzi More...

By Mohamed SAWILA On Thursday, January 21st, 2016
1 Comment

NYWILA ZILIZOTUMIWA SANA NA WATU 2015

Kampuni ya usalama mtandaoni ya SplashData imetoa orodha ya nywila au maneno ya siri yaliyotumiwa sana na watu mwaka uliopita. Orodha hiyo imetayarishwa kwa kutumia maneno ya siri zaidi ya milioni mbili yaliyofichuliwa More...

By tamimu adamu On Wednesday, January 6th, 2016
2 Comments

TWITTER WAPO MBIONI KUONGEZA MANENO YA KUTWEET

Mtandao wa Kijamii wa Twitter inasemekana upo mbioni kuongeza kikomo cha idadi ya maneno wakati wa Ku-Tweet hadi kufikia 10,000 kwa tweet moja. Huenda mpango huo pia ukatumika kwenye uandikaji wa meseji yaan Direct More...

By sophia kessy On Thursday, July 2nd, 2015
1 Comment

GHANA YAANZA KUTENGENEZA MAGARI.

Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo. Lakini hilo sasa huenda likabadilika kufuatia kuwasili kwa kampuni ya magari ya Ghana Kantanka ambayo More...

By sophia kessy On Wednesday, June 10th, 2015
2 Comments

WAKAZI WA ITILIMA WALILIA HUDUMA ZA SIMU

Baadhi ya Wakazi wa wilaya ya itilima mkoani simiyu wameyaomba makampuni ya simu za mkononi kupeleka huduma za mawasiliano wilayani humo kutokana na kadhia ya kutafuta mawasiliano ambayo wanaipata kwa sasa. Wakazi More...

By sophia kessy On Tuesday, May 26th, 2015
2 Comments

TCRA KUWASHINDANISHA WATOA HUDUMA YA MAWASILIANO.

SEKTA ya mawasiliano ni moja ya viungo muhimu katika harakati za nchi yoyote ile Duniani kujiletea maendeleo, hii ni kutokana na ukweli kuwa siku za hivi karibuni sekta hiyo imeweza kusaidia kutoa urahisi kwa wananchi More...