Denmark na Ujerumani watoka sare

Mechi ya soka ya kirafiki kati ya Denmark na Ujerumani imeishia kwa sare ya goli 1 – 1. Bao la Ujerumani lilifungwa na chipukizi wa Bayern Munich Joshua Kimmich. Ni mechi ambayo kocha Joachim Loew aliwapa nafasi wachezaji sita wapya ili kukifanyia majaribio kikosi chake kabla ya michuano ya Kombe la Mashirikisho.  More...

by jerome | Published 3 weeks ago
By jerome On Tuesday, June 6th, 2017
0 Comments

Eden Hazard: Hazard kukosa mechi mwanzo wa msimu ujao Chelsea

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard atakosa mwanzo wa msimu ujao Ligi ya Premia baada yake kufanyiwa upasuaji kwenye kifungo cha mguu. Hazard, 26, amekuwa akihusishwa na kuhamia Real Madrid. Aliumia kwenye More...

By jerome On Tuesday, June 6th, 2017
0 Comments

ULIMWENGU WA SOKA WAMUAGA CHEICK TIOTE

Ulimwengu wa soka umemuaga kiungo wa zamani wa timu ya Newcastle United Cheick Tiote aliyefariki dunia nchini China baada ya kuzimia wakati wa mazoezi. Rafa Benitez, bosi wa zamani wa timu ya Uingereza ya Newcastle More...

By jerome On Monday, June 5th, 2017
0 Comments

IS: TUNAHUSIKA NA SHAMBULIO LA LONDON

Polisi nchini Uingereza wamekuwa wakifanya msako kwenye makazi manne mjini London hadi usiku wa manane kama sehemu ya uchunguzi juu ya shambulio la Jumamosi ambapo watu saba waliuawa na wengine hamsini walijeruhiwa More...

By jerome On Saturday, June 3rd, 2017
0 Comments

JUVENTUS NA REAL MADRID KUCHUANA LEO

Mkufunzi mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane anakabiliwa na kizungumkuti cha kuamua nani kati ya Gareth Bale na Isco atacheza katika fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya leo. Bale hajacheza tangu 23 Aprili lakini More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Mahrez aomba kuondoka Leicester City

Kiungo wa Leicester City Riyad Mahrez amesema kuwa anataka kuondoka katika klabu hiyo. Mchezaji huyo mwenye miaka 26 aliyejiunga na klabu hiyo akitokea Le Havre ya Ufaransa kwa ada ya uhamisho wa paundi 400,000 More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa Ulaya

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa barani Ulaya ikiwa na thamani ya Yuro bilioni 3 kulingana na kampuni ya biashara ya KPMG. Mabingwa hao wa kombe la Yuropa wanaongoza katika orodha ya thamani ya More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Borussia Dortmund yamtimua kocha Thomas Tuchel

Borussia Dortmund imemtimua kocha wake Thomas Tuchel, siku tatu baada ya kushinda kombe la shirikisho la Ujerumani, DFB Pokal, kwa kuichapa Eintracht Frankfurt 2-1. Klabu hiyo imemshukuru Tuchel na kikosi chake More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Afungiwa kushiriki French Open kwa kumbusu mwandishi wa habari

Mchezaji wa Tenisi Maxime Hamou amefungiwa kushiriki michuano ya French Open mjini Paris, baada ya kujaribu kumbusu mwandishi wa habari mara kadhaa wakati wa mahojiano. Mfaransa huyo mwenye miaka 21 alijaribu kumbusu More...

By jerome On Tuesday, May 30th, 2017
0 Comments

Wenger afanya mazungumzo na Stan Kroenke juu ya mkataba mpya

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amefanya mkutano muhimu na mmliki wa klabu hiyo Stan Kroenke Jumatatu ambapo mustakabali wa mfaransa huyo ulitarajiwa kujadiliwa. Matokeo ya mkutano huo bado hayajawekwa wazi, lakini More...