Tshabalala mchezaji bora ligi kuu Mei, awabwaga Niyonzima na Shaabani Idd

Beki wa Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara wa mwezi Mei kwa msimu wa 2016/2017. Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima wa Yanga na Shabani Idd wa Azam FC. Katika mwezi Mei kulikuwa na raundi 3 ambazo Hussein alicheza kwa dakika zote 270 na kutoa mchango mkubwa More...

by jerome | Published 44 mins ago
By jerome On Monday, May 22nd, 2017
0 Comments

MAJIMAJI YAWAKUNA WANASONGEA

Mwishoni mwa wiki wakazi wa Manispaa ya Songea wamekuwa wenye furaha kubwa. Timu ya MAJIMAJI maarufu kwa jina la wanalizombe imefanikiwa kupata ushindi dhidi ya MBEYA CITY, ushindi ambao umeifanya Majimaji kusalia More...

By jerome On Wednesday, May 17th, 2017
0 Comments

Mmiliki wa Leicester akubali kuinunua klabu Ubelgiji

Wamiliki wa Leicester City, King Power International wamekubali kuinunua klabu ya OH Leuven ya Ubegiji. Klabu hiyo daraja la pili iliyoko mashariki mwa mji wa Brussels , iliepuka kushushwa daraja msimu huu. Bodi More...

By jerome On Wednesday, May 17th, 2017
0 Comments

Chelsea washeherekea ubingwa kwa kuwatwanga Watford 4-3

Mabingwa wapya Chelsea wamesheherekea ubingwa wao wa EPL ligi kuu ya Uingereza wakicheza uwanjani kwao Stamford Bridge kwa kuwatwanga Watford 4-3 katika mechi ya kukamilisha ratiba. Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa More...

By jerome On Tuesday, May 16th, 2017
0 Comments

John Terry kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu

Nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry amesema kuwa huenda akastaafu baada ya kuwasaidia mabingwa hao wapya wa EPL kuilaza Watford kwa magoli 4-3 dimbani Stamford Bridge. Terry mwenye miaka 36 ambaye amefunga goli More...

By jerome On Monday, May 15th, 2017
0 Comments

SERENGETI BOYS NA MALI ZATOKA SARE

Serengeti Boys ya Tanzania na Mali zatoka sare katika kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17. Mchezo huo umechezwa katika uwanja wa L`Amitie nchini Gabon.  More...

By jerome On Monday, May 15th, 2017
0 Comments

JURGEN KLOPP: SIO RAHISI KUICHAPA MIDDLESBROUGH

Meneja JURGEN KLOPP wa Liverpool amesema hawatakuwa ‘wajinga’ kwa kudhani kwamba wataichapa kwa urahisi Middlesbrough ili kujihifadhia nafasi ya kushiriki tena katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. The More...

By jerome On Monday, May 8th, 2017
0 Comments

MOURINHO: MASHABIKI WANA FURAHA, NINA FURAHA PIA

Chelsea’s coach Jose Mourinho waits for the kick off of their Champions League Group G soccer match against Sporting Lisbon at the Estadio Jose Alvade in Lisbon, September 30, 2014. REUTERS/Hugo Correia (PORTUGAL More...

By jerome On Friday, May 5th, 2017
0 Comments

TALII TANZANIA YAZINDULIWA

Bodi ya Utalii nchini TTB, imezindua kampeni maalum ya majuma mawili  ijulikanayo kama ‘Talii Tanzania’ambayo itahusisha mikoa minne ya Kigoma, Dodoma, Mbeya na Mwanza, yenye lengo la kuhamasisha utalii wa More...

By jerome On Monday, May 1st, 2017
0 Comments

BAHATI NASIBU YAMTOA

Mkenya aliyefanikiwa kubashiri kwa ufasaha matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki amejishindia jumla ya shilingi bilioni mia mbili na ishirini na moja za Kenya, ambazo ni sawa na dola milioni mbili nukta mbili za More...