Vipepeo walitangulia duniani mapema zaidi kuliko maua

Maua yanatoa asali ili kuwavutia vipepeo, na vipepeo wanasaidia kuchavusha maua. Je, ni vipepeo au maua yaliyotangulia duniani mapema zaidi? Kikundi cha watafiti cha kimataifa kimechambua mabaki ya mbawa za wadudu na kugundua kuwa vipepeo na nondo walitangulia duniani miaka milioni 50 kabla ya mimea aina ya Angiosperm yaani mimea inayochanua kuja More...

Mwanasayansi wa Japan aomba msamaha kwa kudanganya kukua sentimita 9 akiwa angani
Mwanasayansi wa anga za juu wa Japan ameomba msamaha kwa kusema kimakosa kuwa alikuwa amekuwa kwa sentimita 9 tangu awasili kwenye kituo cha kimataifa cha anga za juu (ISS) wiki tatu zilizopita. Norishige Kanai More...

Wanasayansi wachunguza maisha ya vijidudu wanaoishi kwenye theluji na barafu katika ncha za dunia
Watafiti wamechunguza maisha ya vijidudu wanaoishi kwenye theluji na barafu ambao wamefunikwa katika ncha za dunia kwa kupima gesi zilizotolewa na vijidudu. Mwanabiolojia wa Chuo Kikuu cha York cha Uingereza Prof. More...

Wanasayansi wapata picha za nguruwe wenye sura mbaya zaidi duniani
Wanasayansi wamepata picha za kwanza za msituni za kati ya nguruwe wachache wenye sura mbaya zaidi duniani. Nguruwe hao kwa jina Javan waty, wako kwenye hatari ya kuwindwa na kupotea kwa makaazi yao, na wanasayansi More...

Utafiti: Wanaume hulemewa na mafua zaidi ya wanawake
Utafiti mpya unaashiria kwamba ni kweli wanaume hutatizwa na mafua zaidi ya wanawake, jambo ambalo limesababisha kuwepo kwa dhana kwamba huwa kuna mafua ya wanaume. Watafiti nchini Canada wanasema wamepata ushahidi More...

Roboti iliyopewa uraia Saudia sasa yataka mtoto
Roboti ya kwanza kupewa uraia mbali na jina Sophia sasa inataka mtoto. Mwezi mmoja baada ya kuweka historia nchini Saudia roboti hiyo inayofanana na binadamu kwa maumbile imesema kuwa ‘familia ni kitu muhimu’. Sophia More...

Nzi huwa wana bakteria wengi zaidi ya unavyodhani
Wanasayansi wamegundua kwamba nzi hubeba viini vingi vinavyosababisha magonjwa kuliko ilivyodhaniwa awali. Nzi wa kawaida wanaopatikana nyumbani na nzi wanaopatikana sana kwenye mizoga huwa na bakteria zaidi ya More...

Nyangumi wa bluu anaweza kula chakula chenye kalori laki 5
Nyangumi ni mnyama mkubwa zaidi duniani, ambaye ana uzito sawa na tembo 25. Utafiti unaonesha kuwa nyangumi wa buluu anaweza kugeuka kwa kasi, na kuweza kula chakula chenye kalori laki 5 kwa mkupuko mmoja. Kitendo More...

Njiwa wenye taji watoa kelele ya tahadhari kwa manyoya
Wanyama wengi wakiwa hatarini, wanalia ili kuwaonya wenzao. Watafiti wa Australia wamegundua kuwa njiwa wenye taji (Crested Pigeon) wanatoa kelele ya tahadhari kwa manyoya maalum badala ya kulia. Ndege hao wenye More...

Binti shujaa mbunifu wa Emoji iliyo na Hijab
Binti mmoja ambaye ni mwanamitindo wa kibinafsi ambaye ametajwa kama “mwanaharakati wa emoji” Rayouf Alhumedhi ameandikisha historia ya digitalI, kwa kuundwa kwa mchoro uitwao emoji ili kuwakilisha More...