Muungano wa magwiji wa kampuni za mitandao ya kijamii dhidi ya ugaidi

Mabingwa ya mitandao ya kijamii kama Facebook,Microsoft,Youtube na Twitter zakubaliana kuunda kundi la kikazi la kimataifa litakalokuwa likishughulika kuondoa ujumbe au maudhui yoyote yanayoashiria kazi za kigaidi mitandaoni. Hatua hiyo ya kampuni hizo za mitandao ya kijamii imefanyijka kufuatia shinikizo hasa kutoka Marekani na Ulaya . Makampuni hayo More...

by jerome | Published 4 hours ago
By jerome On Wednesday, June 21st, 2017
0 Comments

Utafiti: Watoto wanaozalishwa na wanaume wazee huwa werevu

Wanaume wanaochelewa kuanza familia wana uwezo wa kupata wavulana werevu kulingana na utafiti. Watoto hao huwa werevu, wenye malengo kulingana na utafiti huo uliofanywa na chuo cha Kings College mjini London. Umri More...

By jerome On Tuesday, June 20th, 2017
0 Comments

Wanasayansi wagundua sayari 10 zenye dalili za uhai

Wataalam wa masuala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyingine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai. Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa More...

By jerome On Tuesday, June 13th, 2017
0 Comments

NASA yachagua wanaanga wapya 12

Shirika la anga ya juu la Marekani NASA limetangaza kuchagua wanaanga wapya 12, ambao baada ya kupewa mafunzo watafanya kazi katika kituo cha anga ya juu cha kimataifa na kufanya uchunguzi wa anga ya mbali. Wanaanga More...

By jerome On Tuesday, June 6th, 2017
0 Comments

Kwanini hatuwezi kuangamiza kabisa panya?

Panya wanaiba chakula na kuambukiza maradhi. Binadamu wamefanya majaribio katika maelfu ya miaka iliyopita, lakini bado kuna panya wengi sana duniani. Kwanini hatuwezi kuwaangamiza kabisa wanyama hawa? Bila shaka More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Ashtakiwa kwa kubonyeza kitufe cha ‘Like’ Facebook nchini Uswisi

Mwanamume mmoja nchini Uswisi ajikuta matatani baada ya kubonyeza kitufe cha ‘Like’ katika maoni ya mmoja wa watumizi wa mtandao wa Facebook yaliyomshutumu mwanaharakati mmoja wa kutetea haki za wanyama More...

By jerome On Wednesday, May 17th, 2017
0 Comments

Muda wa kulala unaofaa watoto wenye umri tofauti

Wanasayansi wa idara ya utafiti kuhusu usingizi nchini Marekani wamefanya utafiti kuhusu muda wa kulala unaofaa kwa watoto wenye umri tofauti. Wamesema muda wa kulala unapungua hatua kwa hatua kufuatia kuongezeka More...

By jerome On Monday, May 15th, 2017
0 Comments

NISHATI YA UMEME JUA YAWA MSAADA VIJIJINI

Wakati serikali ikiendelea kufanya jitihada za kuhakikisha nishati ya umeme inaenea katika maeneo yote nchini hasa vijijini , suala la upatikanaji wa nishati ya umeme  jua yaani Solar Power  limeendelea kuwa More...

By jerome On Thursday, February 16th, 2017
0 Comments

MAKAMU WA RAIS AUNGA MKONO VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA

NA AUSTIN BEYADI   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameunga mkono jitihada za kupambana na dawa za kulevya nchini kama hatua ya kuliokoa na taifa janga hilo ambalo limesababisha More...

By Mohamed SAWILA On Thursday, January 21st, 2016
0 Comments

MAPIGO YA MOYO YANAYOBADILIKA HATARI KWA WANAWAKE

Mabadiliko ya mapigo ya moyo ni ya hatari kwa wanawake zaidi kuliko wanaume, kwa mujibu wa tafiti 30 , zilizohusisha zaidi ya wagonjwa milioni nne. Kwa mujibu wa utafiti huo wanawake wenye mapigo ya moyo yanayobadilika More...