Serikali kumnyang’anya mashamba Mohammed Enterprises.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesema serikali imekusudia kuchukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa kutimiza masharti ya uendelezaji wake. Mabulla amesema hayo baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa mashamba katika Wilaya ya Korogwe mkoani More...

Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi Mkuu WFP, apongezwa kwa uongozi mzuri
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. David Beasley amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa uongozi mzuri, na kwamba More...

Serikali kuanza kutoa chanjo ya mifugo
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema serikali inatarajia kuanza kutoa chanjo ya mifugo hususan ng’ombe na kuku ili kudhibiti magonjwa yanayoshambulia mifungo na kurudisha nyuma jitihada za wafugaji More...

Mwanza yaadhimisha siku ya mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira
Leo ni siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, siku hii huadhimishwa kila mwaka ifikapo Julai 25 ya kila mwaka , ambapo mashujaa waliopigana vita katika kuikomboa nchi kutoka katika utawala wa wakoloni na wavamizi More...

Serikali mbioni kukomesha matukio ya kutekwa na kuuawa kwa madereva bodaboda
Waendesha Bodaboda jijini Arusha wamelalamikia kutekwa na kuuawa wanapokuwa kwenye mazingira ya kazi zao huku wakiiomba Serikali kukomesha mauaji pamoja na kuchukuliwa hatua kwa wale wanaobainika kuhusika na mauaji More...

IGP kutuma timu maalum kufuatilia wizi wa mifugo wilayani Butiama.
Baadhi ya Wananchi Wilayani Butiama Mkoani Mara wamelalamikia vitendo vya Wizi wa mifugo vinavyodaiwa kufanywa na wakazi wa maeneo hayo huku Viongozi wa Serikali za mitaa wakiwatetea pindi wanapofikishwa katika More...

Rais Magufuli amteua Jenerali Mstaafu Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA
Rais Dkt. JOHN MAGUFULI amemteua Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Mwamunyange ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania More...

Waziri mkuu aongoza kuuaga mwili wa mbunge wa Korogwe
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maafufu Profesa Maji Marefu. Ngonyani ambaye alifariki dunia Julai 2, 2018 katika More...

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Profesa Maji marefu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mkoani Tanga More...

SUKARI INAYOZALISHWA VISIWANI ZANZIBAR KUPATIWA SOKO LA NDANI
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeweka utaratibu maalum kwa wafanyabiashara wakubwa kuinunua sukari inayozalishwa katika kiwanda cha Mahonda ili kuinua uchumi wa nchi. Akizungumza ofisini kwake migombani mjini More...