HAYA NDIO MATUNDA YA VITA DHIDI YA UJANGILI

Vita dhidi ya Ujangili wa Tembo katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha imeanza kuzaa matunda, kutokana na mikakati mbalimbali inayoendelea kuwekwa na na kutekelezwa na mamlaka zinazosimamia hifadhi hiyo kwa kushirikiana na wananchi wanaozunguka hifadhi hiyo. Imeelezwa kuwa hifadhi ya Taifa ya Ruaha imezungukwa na vijiji 21 vinavyounganisha Tarafa ya More...

IGP asema haki itatendeka kwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi
Mkuu wa jeshi la polisi nchini SIMON SIRO Amesema bado wanaendelea kufuatilia na kuchunguza tukio la kuteswa na kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio cha jijini Dar es Salaa SILAS MBISE, katika More...

Wanafunzi watoro wasakwa.
Serikali wilayani Muleba imeanza operesheni maalumu ya nyumba hadi nyumba kwa lengo la kuwasaka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, ambao waliacha masomo na kukimbilia visiwani kufanya shughuli za uvuvi More...

RC Hapi ataka kasi ya utoaji mikopo ya halmashauri iongezwe.
Halmashauri ya wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imetakiwa kuongeza kasi ya Utoaji wa Mikopo kwa vikundi vya wanawake na vijana ambayo ni asilimia 10 inayotengwa kutoka katika mapato ya ndani ya Halmashauri. Maagizo More...

Kijaji atoa maelekezo kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kigoma Ujiji
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kigoma Ujiji kufanya uchunguzi na kuchukua hatua baada ya kubaini harufu ya ufisadi katika ujenzi wa vyumba More...

Naibu waziri wa fedha akosa imani na meneja TRA Kigoma
Naibu waziri wa Fedha Dr Ashatu Kijaji, ameeleza kukosa imani na utendaji kazi wa Meneja wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani Kigoma, kwa kushindwa kusimamia suala la utoaji risiti wakati wa kuuza na kununua bidhaa More...

Ilikuwaje Mtatiro akabadilika na kuwa kada wa CCM?
Maswali mengi yamezuka mara baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) Julius Mtatiro ,kujivua uanachama wake na kuhamia chama tawala cha CCM. Mtatiro ni mwanasiasa ambaye pia More...

Waziri mkuu awataka viongozi wabadilike kimtazamo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wanaoshiriki kozi fupi ya tano ya viongozi wahakikishe watakaporudi kwenye maeneo yao ya utendaji wawe wamebadilika kimtazamo, kihoja, kiushauri pamoja na utoaji maamuzi. Ameyasema More...

Kangi Lugola: Watanzania ndio waliotulazimu kuweka masharti ya kuondoka nchini
Tanzania imeanza kutekeleza agizo linalowataka Watanzania wanaopata kazi nje ya nchi kupata nyaraka kadhaa na idhini kutoka kwa idara ya uhamiaji. Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Kangi Lugola alikuwa amesema: More...

Julius Kalanga Laizer: Mwanasiasa mwingine wa upinzani ahamia CCM
Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga Laizer amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Mbunge More...