JE NI KWELI WATOTO WA MITAANI WANAONGEZEKA DAR ES SALAAM?

Na Mwaija Salum Mwanzoni mwa mwaka 2017 serikali kupitia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto ilikiri kuwepo kwa ongezeko la watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani . Taarifa ilionyesha kuwa na ongezeko kubwa hasa katika miji mikubwa nchini ambapo takwimu zinaonesha kuwa Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa asilimia 28 ambayo More...

by jerome | Published 2 years ago
By jerome On Tuesday, April 17th, 2018
0 Comments

Mambo muhimu ya kuhakikisha usalama wako mvua inaponyesha

Fahamu kwamba wakati wa kiangazi, vumbi, mchanga na taka za aina mbalimbali hurundikana barabarani. Mvua inaponyesha, husababisha barabara kuwa telezi na kwa hivyo ukiwa na gari ni muhimu kutoendesha gari lako More...

By jerome On Tuesday, March 20th, 2018
0 Comments

JE, KUWATUMIKISHA WATU KUNASABABISHA ONGEZEKO LA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU?

Na Belinda Japhet Je, kuwatoa watoto wa kike vijijini kwenda mijini kufanya kazi, kunachangia kuwepo usafirishaji haramu wa binadamu nchini? Watoto wangapi Tanzania ni wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu? Mwandishi More...