Watu zaidi ya 2,800 nchini Zambia waambukizwa ugonjwa wa kipindupindu

Waziri wa afya wa Zambia Bw. Chitalu Chilufya amesema watu 2,802 nchini humo wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu, ambapo watu 64 wamefariki kutokana na ugonjwa huo, na wengine 218 wanapatiwa matibabu. Bw. Chilufya amesema, kuanzia leo, wizara yake itaanza kutoa chanjo ya kukinga kipindupindu kwa watu milioni 2 katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka. Rais More...

by jerome | Published 3 years ago
By jerome On Tuesday, January 9th, 2018
0 Comments

Mbona wanawake wengi hufa kutokana na mshtuko wa moyo kuliko wanaume?

Ni wamawake wachache ambao hupatwa na matatizo ya mshtuko wa moyo wanaoweza kufa ikiwa watapata matibabu sawa na yale wanayopewa wanaume, uchunguzi umeonyesha. Utafiti huo uliangazia matokeo ya wagonjwa 180,368 More...

By jerome On Tuesday, January 2nd, 2018
0 Comments

Jinsi kitambi kinavyoongeza hatari ya saratani

Kama tunavyofahamu, unene unaweza kuongeza hatari ya saratani, hasa mafuta ya tumboni yanaleta hatari kubwa zaidi. Utafiti mpya umeonesha kuwa mafuta tumboni yanaweza kuzalisha protini inayohimiza seli za kawaida More...

By jerome On Wednesday, December 13th, 2017
0 Comments

Utafiti: Wanaume hulemewa na mafua zaidi ya wanawake

Utafiti mpya unaashiria kwamba ni kweli wanaume hutatizwa na mafua zaidi ya wanawake, jambo ambalo limesababisha kuwepo kwa dhana kwamba huwa kuna mafua ya wanaume. Watafiti nchini Canada wanasema wamepata ushahidi More...

By jerome On Tuesday, December 5th, 2017
0 Comments

Maharagwe yanaboresha akili ya binadamu,utafiti

Ulaji wa maharagwe ya madini mengi ya protini huimarisha uwezo wa kuweka kumbukumbu kwa wanawake kulingana na utafiti mpya uliofanywa Marekani katika chuo kikuu cha taasisi ya chakula . Chuo hicho kikishirikiana More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Mazoezi huenda yataimarisha uwezo wa kumbukumbu

Utafiti mpya uliofanywa pamoja na Australia na Marekani umeonesha kuwa, kufanya mazoezi baada ya kujifunza kunaweza kuimarisha kumbukumbu za mambo uliyojifunza, haswa kwa wanawake. Watafiti wamawagawanya washiriki More...

By jerome On Tuesday, November 21st, 2017
0 Comments

Utafiti: Uvimbe wa saratani ya matiti huwa ”mkubwa” kwa wanawake wanene kupita kiasi

Ni vigumu kubaini chembe chembe za saratani ya matiti miongoni mwa wanawake wenye unene kupita kiasi kabla ya uvimbe kuwa mkubwa, umeeleza uchunguzi wa Sweden. Wanawake wenye unene wa mwili wa kupindukia wanahitaji More...

By jerome On Wednesday, November 8th, 2017
0 Comments

Kucheza dansi kunasaidia kupunguza uzeekaji wa ubongo

Utafiti mpya umeonesha kuwa kucheza dansi kunaweza kupunguza zaidi uzeekaji wa ubongo. Utafiti wa awali umeonesha kuwa mazoezi yanaweza kuusaidia ubongo kupambana na uzeekaji, lakini haukuonesha mazoezi ya aina More...

By jerome On Tuesday, November 7th, 2017
0 Comments

Kipimo cha pumzi kugundua Malaria chaonyesha matumaini

Watu wanaougua ugonjwa wa malaria sasa watalazimika kupimwa kwa kutumia pumzi zao kulingana na wanasayansi wa Marekani. Tayari walikuwa wametumia mfano wa kifaa cha kutumia pumzi barani Afrika, mkutano wa dawa More...

By jerome On Wednesday, October 25th, 2017
0 Comments

Shirika la afya duniani latoa mwito wa kuondoa ubaguzi kwa wagonjwa wa Ukimwi

Mkurugenzi wa shirika la afya duniani WHO Bw. Tedros Adhanom Ghebreyesus jana kwenye makao makuu ya shirika hilo alikutana na wajumbe wa wanafunzi wa China walioambikizwa virusi vya Ukimwi. Amewataka watu duniani More...