Utafiti: baadhi ya vyakula husababisha ukomo wa hedhi mapema

Vyakula vyenye wanga kwa wingi husababisha wanawake kukoma hedhi mapema, utafiti umeeleza. Ulaji wa tambi na wali kwa wingi kwa wanawake nchini Uingereza kunasababisha kuwahi kukoma kwa hedhi mwaka mmoja na nusu mapema zaidi ya wastani wa umri wa miaka 51. Hata hivyo, utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Leeds kwa wanawake 914 nchini Uingereza , pia More...

Bakteria wanaweza kuathiri namna unavyojisikia au kuwaza
Kama kuna kitu chochote kile kinatufanya sisi tuwe binadamu ni fikra ,mawazo na hisia. Na bado kuna mjadala unaoangalia mtazamo mpya uliojitokeza kudai kwamba bakteria wanaoingia tumboni bila kuonekana wanasababisha More...

Wataalam wa Malaria wakutana Senegal
Wanasayansi wapatao elfu tatu wanakutana nchini Senegal katika mkutano wa saba wa kimataifa wa afya kujadiliana juu ya ugonjwa wa malaria kwa siku tano mfululizo wiki hii. Ni miaka 20 sasa tangu mkutano wa kwanza More...

Kwa nini Saratani nyingine ni ‘hatari’
Utafiti umevumbua kwa nini baadhi ya maradhi ya saratani ni hatari kuliko aina nyingine ya saratani ingawa zinaonekana kufanana Taasisi ya wanasayansi ya Francis Crick ilianzisha uchambuzi wa historia ya saratani More...

Nyanya na tufaha zawasaidia wanaoacha uvutaji wa sigara kurekebisha uwezo wa mapafu
Utafiti mpya umeonesha kuwa baada ya kuacha kuvuta sigara, ulaji wa nyanya bichi na tufaha unaweza kusaidia kurekebisha uwezo wa mapafu. Katika utafiti unaofanyika kwa miaka kumi, watafiti wamefanya upimaji wa More...

JE VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO VINAPUNGUA TANZANIA?
Jumatano Februari 28, 2018 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango alizindua ripoti ya makadirio ya watu nchini Tanzania inaonyesha ongezeko la watu kufikia watu milioni 54.2 huku ikikadiriwa idadi ya watu More...

Wataalam wa afya moja kuandaa mpango mkakati wa ulinzi na usalama wa vimelea hatarishi
Wataalam wa Afya moja nchini ambao ni wataalam wa sekta ya Afya ya binadamu, Afya ya wanyamapori na mifugo pamoja na mazingira wameanza kuandaa Mpango Mkakati wa ulinzi na usalama wa vimelea hatarishi utakaosaidia More...

JE, WATOTO TISA KATI YA KUMI WA KITANZANIA WANAPATA LISHE DUNI?
Na Belinda Japhet Watoto wangapi walio chini ya umri wa miaka mitano wanapata lishe bora kwa kiwango wanachokihitaji? Je, asilimia 92 ya watoto nchini Tanzania wanapata lishe duni? Kwa mujibu wa Rikke Le Kirkegaard, More...

Wizara ya afya yazindua kampeni maalum
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la Thamini Uhai, wamezindua kampeni ya ‘Mjamzito na Mtoto Salama ni Wajibu Wetu’ yenye lengo la kuboresha More...

Utafiti waonesha hali ya usingizi kwa wafanyakazi wa ofisini si nzuri
Utafiti mpya uliofanywa na mtandao wa kijamii wa China umeonesha kuwa hali ya usingizi wa wafanyakazi wa ofisini si nzuri, hasa wafanyakazi wanaopanga nyumba moja, ambao asilimia 20 kati yao wanalala baada ya saa More...