UGONJWA WA AJABU WAUA WATU NCHINI LIBERIA

Wizara ya afya nchini Liberia imetangaza kuwa inafanyia uchunguzi sampuli za damu kutoka kwa watu nane ambao wamefariki dunia kutokana ugonjwa usiojulikana katika Eneo la Sineo kilomita 350 kusini mashariki mwa mji mkuu Monrovia. Msemaji wa wizara ya afya Sorbor George, amesema kuwa jitihada za kuwaokoa waliofariki dunia zilishindwa. George aliongeza More...

by jerome | Published 2 days ago
By jerome On Wednesday, April 26th, 2017
0 Comments

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA YAONGEZEKA KWA WAJAWAZITO.

Uelewa mdogo kwa jamii hasa juu ya  lishe  kwa wajawazito kunaelezwa kuwa chanzo cha kuongeza idadi ya watoto wenye ulemavu katika miaka ya hivi karibuni. Baadhi ya madaktari na waataamu wa afya kutoka taasisi More...

By jerome On Tuesday, April 25th, 2017
0 Comments

Dunia yaadhimisha siku ya Malaria

  Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya Malaria shirika la afya duniani WHO limefahamisha kuwa chanjo ya kwanza ya ugonjwa huo itaanza kufanyiwa majaribio nchini Kenya, Malawi na Ghana kuanzia mwaka 2018. Chanjo More...

By jerome On Monday, April 10th, 2017
0 Comments

SERIKALI YAELEZA MKAKATI WA KUPAMBANA NA KIFUA KIKUU.

Serikali imesema kuwa inafahamu changamoto ya uwepo wa magonjwa ya kifua kikuu na Silicosis katika maeneo ya wachimbaji wa Madini. Kwa upande wa Kifua Kikuu inakadiriwa kuwa tatizo hilo ni kubwa ikilinganishwa na More...

By jerome On Tuesday, March 21st, 2017
0 Comments

BUIBUI ATAJWA KUWA TIBA YA KIHARUSI.

Protini katika sumu ya buibui inaweza kusaidia kulinda ubongo kutokana na jeraha baada ya kiharusi kulingana na utafiti. Wanasanyasi waligundua kwamba tiba ya protini Hi1a ilifanya kazi ilipotumiwa katika panya More...

By jerome On Friday, March 10th, 2017
0 Comments

Mwananyamala hospitali kupima Saratani ya Tezi Dume

Na Austin Beyard. Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani huku ugonjwa huo  ukiwa ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa More...

By jerome On Friday, February 17th, 2017
0 Comments

WAHUDUMU WA AFYA WANAOWANYANYASA WENYE KADI ZA NHIF KUKIONA

Vituo vya afya, zahanati  pamoja na hospitali ya rufaa ya mkoa wa mara zimetakiwa kuboresha huduma za  matibabu za mfuko wa bima ya afya ili kuendana na malengo ya mfuko huko katika kuwahudumia wananchi. Wakiongea More...

By jerome On Thursday, February 16th, 2017
0 Comments

UTAPIAMLO WAWAKABILI WATOTO NCHINI

NA RACHEL CHIZOZA     Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye Utapiamlo Afrika licha ya kushuka kwa idadi ya watoto wenye tatizo hilo nchini kutoka asilimia 42 mwaka 2010 na kufikia asilimia 34 More...

By jerome On Wednesday, January 18th, 2017
0 Comments

WAKAZI KIJIJI CHA NDULUKA MKOANI LINDI WALIA NA SEKTA YA AFYA.

Na JUMA MOHAMED Wakazi wa kijiji cha Nduluka Wilayani Liwale Mkoani Lindi, wanakosa matibabu kutokana na ukosefu wa watumishi, licha ya wananchi kujenga zahanati na nyumba ya kuishi Mganga kwa miezi miwili sasa. Wakizungumza More...

By jerome On Wednesday, January 18th, 2017
0 Comments

SERIKALI YAPANIA KUBORESHA SEKTA YA AFYA.

Katika kuboresha huduma ya Afya nchini Serikali imetenga Shilingi Bilioni 251 huku mkoa wa Katavi ukipewa Shilingi bilioni 1.5 kuwezesha wakazi wa Mkoa wa huo kupata huduma bora ya afya. Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa More...