Matangazo ya vyakula mitandaoni huponza watoto

Mitandao ya kijamii huenda ikachochea watoto kula vyakula visivyofaa, utafiti umeeleza Umegundua kuwa watoto wanaojihusisha sana na kutazama mitandao hii wakiona watu wanatumia vyakula vyenye sukari na mafuta kwa wingi nao huiga kwa kula vyakula vyenye asilimia 26% ya vyakula hivyo zaidi kuliko watoto wasiofuatilia mitandao. Utafiti, uliowasilishwa More...

Ulaji wa chakula kingi chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja unaweza kuathiri umetaboli
Ulaji wa chakula kingi chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja unaweza kuathiri umetaboli Watafiti wa Ujerumani wamegundua kuwa ulaji wa chakula chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja ikiwemo hamburger, chips na pizza More...

ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, unahusishwa na matatizo ya utasa miongoni mwa wanawake
Mwanamke ambaye ana mazoea ya kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari bila ya kutumia matunda kwa wingi, yumo kwenye hatari ya kutopata uja uzito, utafiti unasema. Utafiti uliofanyiwa wanawake 5,598, uliwapata More...

MKAKATI KUSAIDIA WAKULIMA WA MCHELE MKOANI MBEYA
Serikali ya Mkoa wa MBEYA imeweka mkakati madhubuti wa kuwasaidia Wakulima wa Mpunga mkoani humo ili kuboresha uzalishaiji wa Mchele wa Mbeya ulio na umaarufu kila pembe ya nchi. Mkoa wa MBEYA umekuwa ukisifika More...

TEMBO WAHARIBU HEKA 10 ZA MAZAO WANANCHI WALIA HAWANA CHAKULA TENA.
Wakazi wa Kijiji cha Sora Kata ya Endakiso Wilayani Babati Mkoani Manyara wameingiwa na Hofu baada ya Tembo kuvamia Kijiji hicho na kumaliza mbaazi iliyo tayari kuvunwa. Mmoja wa wakazi hao Hamisi Suleiman amesema More...

Igunga yakabiliwa na uhaba wa chakula
Mpunga na Mahindi hutegemewa sana na wananchi wa wilaya ya Igunga kama zao kuu la chakula na Biashara. Lakini mwaka huu hali ni tofauti ukilinganisha na miaka mingine iliyopita kutokana na wilaya hiyo kukumbwa More...

Vyakula vitano vinavyoweza kuondoa sumu mwilini kwa wavutaji sigara
Mtu wangu wa nguvu kuna njia nyingi za kuweza kuishi na kujitibu baadhi ya magonjwa kwa vyakula vya asili, hii ni stori ambayo nimekutana nayo kutoka healthypanda.net February 3. Kisayansi huwa inaripotiwa kuwa More...

SERIKALI YA KANUSHA KUHUSU UPUNGUFU WA CHAKULA KWA MAHABUSU
Serikali Kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imekanusha Kutokuwa na Tatizo la Upungufu wa Chakula kwa Mahabusu Wanaoshikiliwa Kwenye Vituo vya Polisi pamoja na Magereza Katika Visiwa vya Zanzibar. Waziri More...

WAONYWA KUTOUZA HOVYO MAHINDI KUEPUKA NJAA
Serkali Imewatahadharisha wananchi Mkoani Katavi kuwa Haitahusika Kutoa Msaada wa Chakula kwa yeyote atakekumbwa na baa la njaa kutokana na wananchi kuuza Mazao ya Mahindi kwa fujo huku mengine yakiwa bado hayajakomaa. Hayo More...
Taste of Tanzania cookbook Trailer
“If your New Year’s resolution is to eat out less and cook more at home, then I’ve got a book to help you get started. Food blogger Miriam R. Kinunda has combined her love for cooking with the delicacies of More...