Mwezi kupatwa kwa muda mrefu zaidi: Je umejiandaa vipi kuona tukio hilo la kihistoria?

Kupatwa kwa mwezi kutafanyika tarehe 27 Julai 2018 na kutakuwa sio kwa kawaida Tukio hilo litakuwa la muda mrefu zaidi katika karne ya 21, kulingana na shirika la usimamizi wa anga za juu(NASA). Na iwapo una bahati utafanikiwa kuona tukio hilo kwa saa moja na dakika 43 Je kupatwa kwa mwezi ni nini? Kupatwa kwa mwezi hutokea wakati jua, dunia na mwezi More...

by jerome | Published 2 years ago
By jerome On Tuesday, July 24th, 2018
0 Comments

Twende: Ni shule ya uvumbuzi nchini Tanzania inayotumia baiskeli

Bernard Kiwia anaweza kutengeza chochote kutoka kwa baiskeli Mara ya kwanza alijulikana kwa kuvumbua chaja ya simu inayotumia nguvu za baiskeli. Bernard alianza kazi kama fundi wa baiskeli hadi alipogundua kwamba More...

By jerome On Wednesday, June 13th, 2018
0 Comments

Siku ya Eid El-fitr huamuliwa vipi?

Siku ya kwanza ya Eid El Fitr inatarajiwa kuwa siku ya Ijumaa, kulingana na kituo cha kimataifa cha maswala ya angani IAC katika mataifa mengi ya Kiislamu ikiwemo Saudia , Algeria, Libya, Misri, Kuwait na Qatar. Tangazo More...

By jerome On Wednesday, May 16th, 2018
0 Comments

Imani sita potofu kuhusu kufunga mwezi wa ramadhani

Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani unaanza wiki hii duniani kote, watu wenye imani ya dini ya kiislamu watajizuia kula chakula na kunywa tangu kuchomoza mpaka kuzama kwa jua. Malengo haya ni katika kutimiza nguzo More...

By jerome On Tuesday, May 8th, 2018
0 Comments

Uganda yapongezwa kwa kuendeleza Kiswahili Afrika Mashariki

Lugha ya Kiswahili inazungumzwa katika nchi za Afrika mashariki. Kiswahili hutumika nchini Tanzania, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji na Rwanda. Zaidi ya watu milioni 15 hutumia lugha hiyo kama More...

By jerome On Tuesday, December 5th, 2017
0 Comments

Kwa nini mji wa Jerusalem ni mtakatifu?

Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na Wapalestina. Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na Jerusalem Magharibi. Jerusalem ya Magharibi More...

By jerome On Friday, December 1st, 2017
0 Comments

WAISLAM WAASWA KUIMARISHA UADILIFU

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amewataka Waislam nchini kote kuwa waadilifu kama alivyokuwa Mtume Muhammad (S.A.W). Amesema ni vema wakatumia wakati huu wa Maulid More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Ramadhan na maradhi ya kutopenda kula

Wakati Ramadhan ikiwa imeanza siku chache zilizopita, kwa waislamu kujizuia kula mchana. Mfungo huu mtukufu wa Ramadhan, umekuwa na changamoto kwa wengine. Habiba Khanom mwenye umri wa miaka 24 ni miongoni mwao, More...

By jerome On Wednesday, May 17th, 2017
0 Comments

Muda wa kulala unaofaa watoto wenye umri tofauti

Wanasayansi wa idara ya utafiti kuhusu usingizi nchini Marekani wamefanya utafiti kuhusu muda wa kulala unaofaa kwa watoto wenye umri tofauti. Wamesema muda wa kulala unapungua hatua kwa hatua kufuatia kuongezeka More...

By jerome On Friday, March 3rd, 2017
0 Comments

KAMPUNI YA LG IMEZINDUA SIMU MYA YA LG G6

Kampuni ya LG imezindua simu mya ambayo skrini yake ni kubwa na ambayo inaweza kutumiwa njia tofauti kwa wakati mmoja. Simu hiyo LG G6 ina mfumo wa 18:9 badala ya mfumo wa 16:9 ambao unatumiwa na simu nyingi. Hii More...