Kukauka kwa mto Ruaha mkuu kwaathiri utalii

Kukauka kwa mto Ruaha mkuu ni moja kati ya changamoto inayotajwa kuathiri zaidi sekta ya utalii katika mikoa ya  kusini,  licha ya serikali kupitia ofisi ya Makamu wa Rais kuunda kikosi kazi ili kutathmini viashiria vya kukauka kwa mto huo. Mto Ruaha mkuu ndiyo tegemeo pekee katika kutiririsha maji ndani ya Hifadhi yaTaifa ya Ruaha ambapo kwa sasa More...

by jerome | Published 3 months ago
By jerome On Thursday, August 24th, 2017
0 Comments

BRAZIL IMEIFUTA HIFADHI KUBWA YA TAIFA KATIKA ENEO LA AMAZON

  Serikali ya Brazil imefutilia mbali hifadhi kubwa ya taifa katika eneo la Amazon ili kutoa fursa ya uchumbaji wa madini katika eneo hilo. Hifadhi hiyo, yenye ukubwa wa kilomita 46,000 mraba (maili mraba More...

By jerome On Thursday, August 24th, 2017
0 Comments

NGORONGORO YAANZA KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI

Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro imeondoa kero iliyokuwa ikiwakabili Watalii na waongoza Watalii kutumia muda mrefu kuingia ndani ya Malango ya Hifadhi hiyo kwa kuanzisha mfumo mpya wa kielekroniki. Akizungumzia More...

By jerome On Friday, August 11th, 2017
0 Comments

JAJI WARIOBA ATAKA WATANZANIA KUITUNZA MISITU

Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya pili jaji Joseph Warioba ametembelea Chuo kikuu cha kilimo Sokoine olmotonyi SUA tawi la arusha kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya kilimo na utunzaji wa mazngira. Jaji More...

By jerome On Wednesday, August 9th, 2017
0 Comments

Binadamu wamezalisha tani bilioni 8.3 za plastiki duniani

Utafiti mpya uliotolewa kwenye gazeti la Science Advances unasema tangu mwanzoni mwa miaka ya 50 karne iliyopita, binadamu wamezalisha tani bilioni 8.3 za plastiki, ambazo nyingi zimekuwa takataka. Kikundi cha More...

By jerome On Wednesday, August 2nd, 2017
0 Comments

Kampuni ya China yashtakiwa kwa kuchafua mazingira Gambia

Wanamazingira kutoka miji midogo ya pwani nchini Gambia wameipeleka kampuni moja ya China mahakamani kwa madai ya kutupa takataka za sumu kwenye bahari. Hatua hiyo inakuja baada ya serikali kukubaliana nje ya mahakama More...

By jerome On Friday, July 14th, 2017
0 Comments

SIMBA AMNYONYESHA MWANA WA CHUI TANZANIA

  Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hilo.Picha hizi ni za kwanza kuchukuliwa simba akimnyonyesha mwana wa chui kutoka jamii nyengine ya wanayama, kisa kisicho More...

By jerome On Tuesday, July 11th, 2017
0 Comments

Simba wanne watoroka mbuga ya taifa Afrika Kusini

Walinzi wa mbuga nchini Afrika Kusini wanawattafuta simba wanne waliotoroka kutoka mbuga ya kitaifa. Simba hao walitoroka kutoka mbuga ya Kruger siku ya Jumapili na mara ya mwisho walionekana katika kijiji cha More...

By jerome On Wednesday, June 21st, 2017
0 Comments

Kiasi cha hekari 372,000 za Misitu huangamizwa kila mwaka nchini.

Serikali imesema kasi ya uharibifu wa misitu ni kubwa sana nchini ambapo kiasi cha hekari 372,000 za misitu huangamizwa kila mwaka kwa aina zote za uharibifu. Ili kurejesha misitu nchini  katika hali yake ya kawaida More...

By jerome On Tuesday, June 20th, 2017
0 Comments

Ujerumani na Tanzania zajidhatiti kuilinda Selous

Serikali za Tanzania na Ujerumani kwa pamoja zimezindua programu ya utunzaji wa mazingira na maendeleo katika hifadhi ya taifa ya Selous, SECAD, nchini Tanzania. Hii ni miongoni mwa harakati za pamoja za mataifa More...