SIMBA AMNYONYESHA MWANA WA CHUI TANZANIA

  Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hilo.Picha hizi ni za kwanza kuchukuliwa simba akimnyonyesha mwana wa chui kutoka jamii nyengine ya wanayama, kisa kisicho cha kawaida. Wawili hao walionekana na Joop Van Der Linde mgeni katika katika eneo la Ndutu safari Lodge nchini Tanzania katika eneo la uhifadhi More...

by jerome | Published 7 days ago
By jerome On Tuesday, July 11th, 2017
0 Comments

Simba wanne watoroka mbuga ya taifa Afrika Kusini

Walinzi wa mbuga nchini Afrika Kusini wanawattafuta simba wanne waliotoroka kutoka mbuga ya kitaifa. Simba hao walitoroka kutoka mbuga ya Kruger siku ya Jumapili na mara ya mwisho walionekana katika kijiji cha More...

By jerome On Wednesday, June 21st, 2017
0 Comments

Kiasi cha hekari 372,000 za Misitu huangamizwa kila mwaka nchini.

Serikali imesema kasi ya uharibifu wa misitu ni kubwa sana nchini ambapo kiasi cha hekari 372,000 za misitu huangamizwa kila mwaka kwa aina zote za uharibifu. Ili kurejesha misitu nchini  katika hali yake ya kawaida More...

By jerome On Tuesday, June 20th, 2017
0 Comments

Ujerumani na Tanzania zajidhatiti kuilinda Selous

Serikali za Tanzania na Ujerumani kwa pamoja zimezindua programu ya utunzaji wa mazingira na maendeleo katika hifadhi ya taifa ya Selous, SECAD, nchini Tanzania. Hii ni miongoni mwa harakati za pamoja za mataifa More...

By jerome On Tuesday, June 6th, 2017
0 Comments

Joto katika baadhi ya miji duniani huenda likaongezeka kwa nyuzi 8 mwishoni mwa karne hii

Watafiti wa taasisi ya mazingira ya Uholanzi wameonya kwenye gazeti la mabadiliko ya hali ya hewa kuwa kutokana na kuongezeka kwa joto duniani na matumizi ya nishati mijini, joto katika baadhi ya miji duniani huenda More...

By jerome On Monday, June 5th, 2017
0 Comments

ARUSHA YAUNGANA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA

Jiji la Arusha limeungana na wadau mbalimbali duniani  kuadhimisha siku ya mazingira  kwa kupanda miti  katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo. Viongozi wa upandaji wa miti  ni pamoja na diwani  wa kata ya Temi More...

By jerome On Friday, June 2nd, 2017
0 Comments

DUNIA KUADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA

Kila jambo lina mwanzo wake,hii leo dunia imeanza kuadhimisha wiki ya mazingira yenye lengo la kuhamasisha kila mmoja kuchukua hatua kuhusu uharibifu  wa mazingira unaofanyika duniani. Inaelezwa kuwa kuna uhusiano More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

WATOZWA FAINI YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC  limewatoza faini ya jumla ya shilingi milioni 20 wawekezaji wawili wa kilimo na ufugaji  wilayani Kilolo mkoani Iringa kwa makosa ya kuendesha shughuli More...

By jerome On Thursday, April 27th, 2017
0 Comments

ZAO LA TUMBAKU SI NEEMA TENA MKOANI TABORA

Kilimo cha zao la Tumbaku Mkoani Tabora kimegeuka kuwa janga la uharibu wa mazingira kutokana na Wakulima kuendelea kukata miti hovyo ili kukaushia Tumbaku hiyo jambo ambalo linaleta athari kubwa kwa mkoa huo na More...

By jerome On Thursday, February 16th, 2017
0 Comments

MPINA AKITOZA FAINI YA SHILINGI MILIONI 25 KIWANDA CHA CHEMICOTEX

Kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, amekitoza faini ya shilingi Milioni 25, More...