TAMASHA LA FIESTA WASANII WAAHIDI MAKUBWA LEADERS

Wakati Joto la TIGO FIESTA likiendelea kupanda miongoni mwa wapenzi na mashabiki wa burudani hiyo, Uongozi wa CLOUDS MEDIA GROUP umewahakikishia Watanzania kuwepo kwa “SAA SITA ZA KUANDIKA HISTORIA”katika viwanja vya LEADERS jijini Dar es Salaam siku ya jumamosi.   Huo ndiyo muonekano wa uwanja wa burudani ya 16 ndani ya miaka 17 katika mkoa More...

by jerome | Published 3 years ago
By jerome On Saturday, October 28th, 2017
0 Comments

Tigo Fiesta yafana Tanga.

Wakazi wa jiji la TANGA usiku wa kuamkia leo wameuhitimisha usiku wa TIGO FESTA kwa historia ya aina yake. Msimu wa TIGO FIESTA 2017 umeingia kilele chake usiku wa kuamkia leo katika jiji la TANGA kwa wanamuziki More...

By jerome On Wednesday, October 18th, 2017
0 Comments

Tuhuma za ngono kwenye filamu zazua balaa

Mkuu wa studio ya kurekodia ya Amazon, Roy Price,ameamua kujiuzulu baada ya taarifa za kumnyanyasa mzalishaji mziki na kutupilia mbali shutuma za unyanyasaji wa kingono dhidi yake zilizotolewa juu ya mcheza filamu More...

By jerome On Tuesday, October 17th, 2017
0 Comments

Zari awasuta waliodhani penzi lake na Diamond limekwisha

Kila mtu amekuwa akidhania kwamba uhusiano wa wapenzi maarufu Afrika Mashariki na kati msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz na mfanyibiashara wa Uganda Zari Hassan ulikuwa umevunjika baada ya kashfa ya Diamond More...

By jerome On Saturday, October 14th, 2017
0 Comments

Msimu wa Tigo Fiesta wafana mkoani Mbeya

Wakati Watanzania wakiadhimisha miaka 18 ya kifo cha Hayati baba wa taifa Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE na ikumbukwe usiku wa jkuamkia leo huko jijini MBEYA imefanyika show CLASSIC ya TIGO FIESTA na viongozi More...

By jerome On Thursday, October 12th, 2017
0 Comments

MAJOR LAZER WAACHIA VIDEO YA WIMBO “PARTICULA,” NCHINI AFRIKA KUSINI

Kundi la watayarishaji wa muziki na Madj maarufu wa Marekani, Major Lazer limeachia video ya wimbo wao “Particula” iliyofanyika katika jiji la Johannesburg, Afrika Kusini na kuongozwa na mtayarishaji wa filamu, More...

By jerome On Tuesday, October 10th, 2017
0 Comments

Mashindano ya kwanza ya ulimbwende kwa walemavu

Masindano ya kwanza ya ulimbende kwa walemavu wanaotumia beiskeli nchini Poland Masindano ya kwanza ya ulimbwende kwa wanawake walemavu wanaotumia beiskeli wafanyika kimataifa nchini Poland. Katika mashindano hayo More...

By jerome On Tuesday, October 10th, 2017
0 Comments

Tiwa Savage alivyofanyiwa surprise na mume wake kwenye stage ya AFRIMMA

Msanii Tiwa Savage baada ya kupokea tuzo za AFRIMMA usiku wa October 8 2017  zilizofanyika nchini Marekani, Texas Dallas kama msanii bora wa kike Afrika Magharibi, alipata nafasi ya kuperfom katika jukwaa hilo More...

By jerome On Tuesday, October 3rd, 2017
0 Comments

Mwimbaji Tom Petty asumbuliwa na shambulizi la moyo

Vyombo vya habari vya Marekani vinasema kwamba mwimbaji mashuhuri Tom Petty yupo mahututi hospitalini akisumbuliwa na shambulizi la moyo. Mwimbaji huyo alikutwa nyumbani kwake siku ya Jumapili akiwa ameanguka chini More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wa 3

Kim Kardashian West na mumewe Kanye West wamethibitisha kwamba watapata mtoto mwengine kutoka kwa mama anayebeba mimba kwa niaba yao. Mwisho wa kipindi chao cha The Kardishians, nyota huyo alimwambia dadake Khloe More...