Zari amwambia Diamond asuluhishe matatizo yake

Mgogoro kuhusu uhusiano kati ya msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinums na mwanamitindo Hamisa Mobeto umechukua mweleko mpya baada ya Zari Hassan kukana madai ya mpenziwe kwamba alikuwa anajua kwamba alikuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo kulingana na gazeti la New Vision Uganda. Diamond siku ya Jumanne katika mahojiano na Clouds Fm alidai More...

by jerome | Published 2 months ago
By jerome On Tuesday, September 19th, 2017
0 Comments

Msanii Diamond akiri kuzaa na Hamisa Mobetto

Msanii Diamond Platnumz ameomba radhi baada ya kupata mtoto nje ya ndoa na mwana mitindo wa taifa hilo Hamisa Mobetto ambaye alishiriki katika kanda yake ya muziki. Katika mahojiano na clouds Fm nyota huyo alifumbua More...

By jerome On Tuesday, September 5th, 2017
0 Comments

Lil Wayne alazwa hospitalini kwa kuugua kifafa

Mwanamuziki Lil Wayne amekimbizwa hospitalini baada ya kuanguka kutokana na kifafa na kupatikana akiwa hana fahamu katika chumba cha hoteli alimokuwa huko Chicago. Mtandao wa wasanii wa TMZ umesema mwanamuziki More...

By jerome On Tuesday, September 5th, 2017
0 Comments

Angelina Jolie: ‘Sina furaha kwa kukosa mpenzi, nahisi upweke”

Nyota wa filamu za Hollyhood, Angelina Jolie, amekuwa na wakati mgumu tangu alipoachana na mpenzi wake Brad Pitt mwaka jana. Aliambia Gazeti la Telegraph: ”Nimekuwa na wakati mgumu. Sifurahi kuwa bila mpenzi. More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Mvulana atumia funzo kutoka kwa filamu kumuokoa ndugu yake Marekani

Nyota wa Hollywood Dwayne Johnson, almaarufu The Rock amemtaja mvulana wa miaka 10 kuwa “shujaa halisi” baada ya mvulana huyo kutumia mafunzo kutoka kwa filamu kumuokoa ndugu yake. Jacob O’Connor More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Ali Kiba, Nandy, Bebe Cool na Nyashinski kuwania tuzo za AFRIMA

Wanamuziki wa Tanzania, Uganda na Kenya akiwemo Ali Kiba, Nandy, Bebe Cool na Nyanshiski ni miongoni mwa nyota 18 wa muziki walioteuliwa kuwania tuzo za All Africa Music Awards {AFRIMA} zinazotarajiwa kuandaliwa More...

By jerome On Tuesday, August 22nd, 2017
0 Comments

Emma Stone mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi zaidi 2017

Emma Stone ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi zaidi miongoni mwa waigizaji duniani mwaka huu. Mwigizaji huyo aliyeigiza katika filamu iliyovuma sana mwaka huu ya La La Land alilipwa $26m (£20m) katika More...

By jerome On Tuesday, August 22nd, 2017
0 Comments

Daniel Craig kuigiza tena James Bond

Daniel Craig amethibitisha kwamba atarejea kuigiza tena kama James Bond. Mwigizaji huyo aliulizwa iwapo ataigiza tena kama jasusi huyo maarufu alipokuwa anahojiwa katika kipindi cha The Late Show nchini Marekani. “Ndio,” More...

By jerome On Tuesday, August 22nd, 2017
0 Comments

Coleen: Mke wa Wayne Rooney ni mjamzito tena

Mwanamke huyo wa miaka 31 ametanagza habari hizo kwa wafuasi wake 1.25 milioni kwenye Twitter na kusema kwamba anaweza kuwatangazia watu kwani amepimwa na kuchunguzwa vyema. Ameandika: “Nina furaha sana!!! More...

By jerome On Tuesday, August 15th, 2017
0 Comments

Mwanamuziki wa Saudia akamatwa kwa kucheza dab

Mwanamuziki maarufu amekamatwa kwa kucheza ”dabbing” wakati wa tamasha kusini magharibi mwa Saudia. Abdallah Al Shahani, mtangazaji wa runinga, muigizaji na raia wa Saudia alikuwa akionyesha miondoko More...