Wavulana huenda wakaruhusiwa kuvalia sketi shuleni.

Wavulana katika shule moja ya kibinafsi kaskazini mwa jiji la London huenda wakaruhusiwa kuvalia sketi iwapo sheria mpya kuhusu sare ya shule zitaidhinishwa. Shule hiyo ya Highgate inapanga kuruhusu wanafunzi kuvalia sare yoyote ile ambayo wanataka bila kujali jinsia. Wamechukua hatua hiyo baada ya kugundua watoto wengi wanauliza maswali kuhusu jinsia More...

by jerome | Published 6 days ago
By jerome On Tuesday, May 9th, 2017
0 Comments

Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku Ufaransa

Sheria nchini Ufaransa inayopiga marufuku wanamitindo wembamba wasio na afya imeanza kutekelezwa. Wanamitindo watahitajika kuwa na cheti cha daktari kuonyesha afya yao kwa misingi ya vipimo vya uzito wao na kimo. Wizara More...

By jerome On Tuesday, May 9th, 2017
0 Comments

Nicki Minaj kuwalipia karo mashabiki wake Marekani

Mwanamuziki Nicki Minaj ameahidi kulipia karo baadhi ya mashabiki wake. Hata hivyo amesema ni lazima wathibitishe kwamba walipata alama A katika mtihani wao wa kujiunga na vyuo. Alikuwa akijibu maombi kutoka kwa More...

By jerome On Wednesday, April 26th, 2017
0 Comments

RAIS MAGUFULI NA RAIS MSTAAFU KIKWETE NDANI YA MUUNGANO

    Rais Magufuli, amekutana na kusalimana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye maadhimisho ya sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Uwanja wa More...

By jerome On Monday, March 27th, 2017
0 Comments

SERIKALI YAAGIZA NEY KUACHIWA, WIMBO WAKE KUENDELEA KUPIGWA!

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa Mitego aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo. Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA More...

By jerome On Tuesday, March 7th, 2017
0 Comments

MBWA MWENYE MDOMO WA AJABU AOLEWA MAREKANI.

Mbwa aliyetelekezwa na mmiliki wake kwa kuwa na mdomo ulio kombo ameokolewa. Mbwa huyo kwa jina Picasso aliokolewa pamoja na nduguye Pablo mjini Oregon nchini Marekani. Wawili hao walitupwa katika jumba moja la More...

By jerome On Monday, March 6th, 2017
0 Comments

ADELE ATANGAZA KUOLEWA!

Msanii wa muziki Adele amethibitisha kwamba ameolewa na Simon Konecki baada ya miezi kadhaa ya uvumi. Mwanamuziki huyo alikuwa jukwaani huko mjini Brisbane Australia akizungumza kuhusu wimbo wake Someone Like You More...

By jerome On Thursday, March 2nd, 2017
0 Comments

NYUMBA ZA MAGOMENI COTTERS KUKAMILIKA MWEZI SEPTEMBA

Eng. Athu Chulla akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (wa pili kulia), mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba zinazojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania More...

By jerome On Monday, February 27th, 2017
0 Comments

RIHANNA AMFIKIA MICHAEL JACKSON!

Rihanna amempiku Michael Jackson katika kuwa na nyimbo katika chati ya nyimbo kumi bora nchini Marekani. Hii ni baada ya wimbo wake mpya wa Love on the Brain kuingia kwenye orodha hiyo. Wimbo huo ni wake wa 30 kuwa More...

By jerome On Friday, February 24th, 2017
0 Comments

AMBER LULU “SIPIGI PICHA KUJIUZA MITANDAONI, NAPIGA KWA MAPENZI YANGU”

Video Queen anaetamba katika ngoma za wasanii mbalimbali nchini Lulu Auggen Maarufu kama ‘Amber Lulu’ amesema kuwa hapigi picha za utupu kwa lengo la kujiuza mtandaoni na badala yake amekuwa akipiga picha hizo More...