MAJAMBAZI WATISHIA WANANCHI WA BUKOBA MJINI

Wananchi wa mji wa Bukoba, Mkoani Kagera ulio pembezoni mwa Ziwa Victoria, wamejawa na hofu kubwa kufuatia tatizo la ujambazi na kuvamiwa na kisha kukatwa makolomeo kama anavyoeleza Mgombea Ubunde wa Jimbo la Muleba Kaskazini, CHARLES MWIJAGE. MWIJAGE anatumia fursa ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa CCM, SAMIA SULUHU HASSAN Mkoani humo kufikisha kilio More...

by sophia kessy | Published 4 years ago
By sophia kessy On Saturday, August 22nd, 2015
0 Comments

WAGOMBEA URAISI WARUDISHA FOMU TUME YA UCHANGUZI NEC.

Ilikuwa miaka, miezi, wiki na sasa zimebaki saa 18 tu kuanza kwa kipute cha Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na udiwani zitakazochukua siku 70 hadi kukamilika. Vyama vyote vinavyowania nafasi hizo awali More...

By sophia kessy On Tuesday, August 18th, 2015
0 Comments

CCM YATANGAZA MAJIMBO 11 YALIYOKUWA YAMESALIA.

Zikiwa zimebaki takribani siku 69 kwa watanzania kuingia katika uchaguzi mkuu, vyama vya siasa ambavyo ndio walengwa wa uchaguzi huo vimeendelea kujipambanua na kuweka mikakati mbalimbali lengo likiwa ni kuingia More...

By sophia kessy On Wednesday, August 12th, 2015
0 Comments

BAADHI YA WANACHAMA CCM JIMBO LA MTAMA WATIA MKWARA.

Baadhi ya wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM, Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, wamesema wanaweza kukihama Chama hicho kumfuata aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo SELEMAN MATHEW, atakakoelekea endapo jina lake More...

By sophia kessy On Friday, August 7th, 2015
0 Comments

LIPUMBA ABWAGA MANYANGA CUF/ UKAWA

Na NTIBASHIMA EDWARD. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof IBRAHIM HARUNA LIPUMBA ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho, kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi More...

By sophia kessy On Monday, August 3rd, 2015
0 Comments

KEPTEN SAMBWEE SHITAMBA AIBUKA MSHINDI WILAYANI MBEYA.

Tuelekee huko Mbeya ambapo Chama  cha Mapinduzi CCM Wilayani humo, kimempata Mwanachama  mmoja kati ya 16  waliowania nafasi ya Ubunge Jimboni humo, atakayepeperusha bendera ya Chama hicho katika uchaguzi Mkuu More...

By sophia kessy On Monday, August 3rd, 2015
0 Comments

WATANZANIA WATAKIWA KULIOMBEA TAIFA KATIKA UCHAGUZI MKUU.

Watanzania wametakiwa kuendelea kushiriki katika maombi ya kuliombea taifa wakati linaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu. Wito huo umetolewa na waumini wa kanisa la waadventista wasabato wilayani More...

By sophia kessy On Monday, August 3rd, 2015
0 Comments

MASELE ASHINDA KURA ZA MAONI.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini kupitia chama cha Mapinduzi CCM, STEPHEN MASELE ameongoza kwenye mchakato wa kura za maoni za chama hicho na kutangazwa kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu More...

By sophia kessy On Wednesday, July 29th, 2015
0 Comments

CHADEMA YAMKAMATA MWANANCHI AKIWA NA KADI 35 ZA KUPIGIA KURA.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimemkamata mkazi wa kijiji cha Chikobe kata ya Nyachiluluma mkoani Geita BULUBA NGASSA, akiwa na shahada za kupigia kura zaidi ya 35. Mwenyekiti wa chama hicho Tawi la More...

By sophia kessy On Tuesday, July 28th, 2015
0 Comments

LOWASA NA FAMILIA YAKE WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA.

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa monduli, EDWARD LOWASSA amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo chadema na kuahidi kushirikiana na Chadema katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuiondoa CCM madarakani. Licha More...