WAZIRI MWIGULU AAGIZA KUVUNJWA KWA BODI YA NARCO KUTOKANA NA UFISADI.

Serikali imeagiza kuvunjwa kwa bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), inayosimamia ujenzi wa Machinjio ya kisasa, Ruvu chini Mkoani Pwani kwa tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi huo. Unapofika katika eneo hili la Ruvu chini na kushuhudia Ujenzi wa jengo hili la machinjio ya kisasa utabaini kuwa ujenzi More...

by jerome | Published 5 years ago
By jerome On Monday, January 4th, 2016
2 Comments

MSAIDIZI WA IGP, MKE, WATOTO NA MSICHANA WA KAZI WAFA KWA MAFURIKO.

WATU wanane wamefariki dunia akiwemo mpambe wa (ADC), wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP, Inspekta Gerald. Ryoba kutokana na mafuriko ya mvua huko Kibaigwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa More...

By sophia kessy On Friday, November 13th, 2015
1 Comment

ANNE MAKINDA ATOA MTAZAMO WAKE KUUSU SPIKA AJAE.

Vuguvugu kubwa limeigubika tasnia ya siasa katika kusaka nafasi ya Uspika wa Bunge ili kuliongoza Bunge la 11 ambapo wanasiasa lukuki wakiwemo wabunge wateule na wasiokuwa wabunge wamejitokeza kuwania nafasi hiyo. Tangu More...

By sophia kessy On Monday, November 9th, 2015
2 Comments

BAADHI YA WASOMI WATOA MATARAJIO YA SIFA ZA WAZIRI MKUU AJAE.

Baadhi ya wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wametoa maoni na mapendekezo yao kuhusu waziri mkuu ajae huku wakieleza kuwa wanatarajia kumpata waziri mkuu mchapakazi kama alivyo Raisi wa Tanzania DR.JOHN More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
1 Comment

CUF YATOA TAMKO

 Baada ya tamko la jana la  Jecha Salim Jecha ambae ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kufuta uchaguzi wa Zanzibar , leo hii Chama cha wananchi (CUF) kimetoa hoja zao dhidi ya uamuzi huo. Akizungumza More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
1 Comment

JOHN POMBE MAGUFULI RAIS MTEULE WA AWAMAU YA TANO TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa mgombea urais wa chama cha mapinduzi CCM JOHN POMBE MAGUFULI, ametangazwa kuwa mshindi wa urais wa uchaguzi uliofanyika nchini Oktoba 25 mwaka huu. JOHN MAGUFULI anakuwa rais wa tano wa Jamhuri More...

By adminhabari On Sunday, October 25th, 2015
2 Comments

Live Election Report

 More...

By sophia kessy On Thursday, October 15th, 2015
1 Comment

CHAVITA YALIA NA KUKOSEKANA KWA WAKALMANI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI.

Siku kumi kabla taifa halijashiriki kupiga kura kuwachagua madiwani, wabunge na rais, Chama cha Viziwi Tanzania(CHAVITA) kimeilalamikia tume ya taifa ya uchaguzi kwa kutoa taarifa likuki za masuala ya uchaguzi, More...

By sophia kessy On Thursday, October 15th, 2015
1 Comment

TACCEO YALALAMIKIA WALEMAVU KUBAGULIWA KATIKA MIKUTANO YA SIASA.

Mtandao wa asasi za kufuatilia chaguzi Tanzania TACCEO, chini ya kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC, wamebaini pia changamoto hiyo, kupitia taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa mtandao huo MARTINA KABISAMA, More...

By sophia kessy On Thursday, October 15th, 2015
1 Comment

MAMA REGINA LOWASA AWATAKA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAO WASAIDIA

Watanzania wametakiwa kuwachagua viongozi wanaoweza kuwasaidia katika kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili kutokana na sera wanazozitoa katika majukwaa ya kampeni. Akizungumza na wakazi wa Jimbo la Iringa More...