SAMATTA CHUKUA POCHI YA KATUMBI USIITAMANI KALAMU YAKE.

Katumbi ni mtu wa pili kwa umaarufu na nguvu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anazidiwa kwa kiasi kidogo sana na Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila. Lakini upande anaoupenda yeye sio siasa sana, ni muumini mkubwa wa biashara. Kila anachokiona kwake anakitizama kwa upande wa faida yake. Kikimlipa anakipenda kwa moyo wake wote, anakithamini kisha More...

by jerome | Published 3 years ago
By jerome On Wednesday, January 6th, 2016
0 Comments

ZIDANE TIZAMA NYUMA YA MIWANI YA PEREZ NA MIGONGO YA MASHABIKI BERNABEU.

Mhasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji la ubingwa wa dunia huku akifunga mara mbili katika More...

By sophia kessy On Wednesday, January 28th, 2015
0 Comments

LEO KATIKA TEKNOLOJIA YA ROBOT HUKO CONGO

By Sophia Kessy : katika teknolojia leo tuko Afrika Congo kinshasa na hapa wenzetu ambao wako hapa hapa waafika wenzenzetu nao wameamka sasa wanataka kuleta ma badiliko wamedhamiria na wamefanya mapinduzi makubwa More...