Miaka 50 tangu kuuwawa Martin Luther King , Je maono yake yametimia?

Ikiwa leo ni miaka 50 tangu mauaji ya mwanaharakati wa haki za kiraia nchini Marekani Martin Luther King Jr, maoni ya Wamarekani juu ya usawa wa rangi yamebaki katika mgawanyiko kwa kiwango kikubwa. Kwa mujibu wa utafiti wa maoni uliofanywa na kituo cha utafiti wa mambo ya umma cha shirika la habari la Associeted Press AP-NORC, wengi wa Wamarekani More...

Jinsi muziki unavyotumiwa kuongeza mazao ya nguruwe Rwanda
Mfugaji mmoja wa nguruwe kaskazini mwa Rwanda amepata siri ya aina yake kuwafanya nguruwe anaofuga kuongeza uzalishaji. Siri hiyo ni muziki unaotumbuiza saa 24 katika mazizi yao. Mfugaji huyo maarufu Sina Gerald More...

Kondoo si wapumbavu sana, utafiti wabaini
Kondoo wamedhihirisha kwamba wana uwezo wa kutambua na kutofautisha nyuso za watu wanaowafahamu, kwa mujibu wa utafiti. Watafiti katika Chuo Kikuu cha Cambridge waliweza kuwafundisha kondoo kutambua nyuso za watu More...

Hatari ya kuvalia viatu bila soksi
Ukivalia viatu vyako bila soksi unajiweka katika hatari ya makubwa zaidi kuliko kunuka kwa miguu pekee. Chuo cha tiba ya miguu nchini Uingereza kinasema karibuni kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya maradhi yanayosababishwa More...

Kwa nini huwa vigumu kuwaua mbu na nzi
Umewahi kujaribu kumuua mbu au nzi? Utagundua kwamba huwa vigumu sana. Wadudu hawa huwa na kasi ajabu. Lakini inakuwaje wadudu hawa wadogo – wenye ubongo mdogo hivi – wanaweza kuwazidi binadamu kwa More...

Mambo kumi yasiyofaa kukupita kuhusu uchaguzi mkuu Kenya 2017
Kwa mara nyingine tena, Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, wanashindania uongozi wa taifa la Kenya katika uchaguzi wa Agosti baada ya kukabiliana tena Machi 2013. Rais Kenyatta ni mwana wa rais wa kwanza wa Kenya, More...

GUARDIOLA AMSHAURI MESSI KUHAMIA LIGI KUU ENGLAND.
Kocha wa Leicester city Claudio Ranieri ametuma ofa ya pauni milioni mbili kwaajili ya kumsajili kiungo Nigel De Jong, kutoka Ac Milan , wakati huo huo Leicester city inataka kumsajili mshambuliaji wa Porto Vincent More...

SAMATTA CHUKUA POCHI YA KATUMBI USIITAMANI KALAMU YAKE.
Katumbi ni mtu wa pili kwa umaarufu na nguvu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anazidiwa kwa kiasi kidogo sana na Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila. Lakini upande anaoupenda yeye sio siasa sana, ni muumini More...

ZIDANE TIZAMA NYUMA YA MIWANI YA PEREZ NA MIGONGO YA MASHABIKI BERNABEU.
Mhasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji la ubingwa wa dunia huku akifunga mara mbili katika More...
LEO KATIKA TEKNOLOJIA YA ROBOT HUKO CONGO
By Sophia Kessy : katika teknolojia leo tuko Afrika Congo kinshasa na hapa wenzetu ambao wako hapa hapa waafika wenzenzetu nao wameamka sasa wanataka kuleta ma badiliko wamedhamiria na wamefanya mapinduzi makubwa More...