Rwanda: Wakulima wa chai watuzwa

Halmashauri ya kuuza bidhaa za kilimo nchini Rwanda imeyatuza makampuni na wakulima wa chai wenye bidhaa na kilimo bora. Miongoni mwa kampuni zilizozawadiwa ni pamoja na Sorwathe, Shagasha, Nyabihu na Mata kwenye hafla ya kuzinduliwa kwa sura mpya ya chai ya nchi. Akizungumza wakati wa hafla hiyo mkurungezi wa halmashauri hiyo balozi George William More...

by jerome | Published 4 weeks ago
By jerome On Saturday, November 11th, 2017
0 Comments

Msimu wa Fiesta Mtwara,mauzo ya Tiketi kwa tigopesa yaelekea kuvunja rekodi.

Msimu wa TIGO FIESTA unafikia kilele chake usiku huu katika mkoani MTWARA katika uwanja wa CCM NANGWANDA SIJAONA ambapo hadi kuikia jioni ya leo maandalizi kwa ajili ya tukio hilo yalikuwa yamekamilika kwa asilimia More...

By jerome On Wednesday, November 8th, 2017
0 Comments

Marufuku usafirishaji wa korosho nyakati za usiku.

Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mtwara imepiga marufuku kwa wanunuzi wote wa Korosho wanaosafirisha zao hilo nyakati za usiku kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndani ya mkoa huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo More...

By jerome On Wednesday, November 8th, 2017
0 Comments

Kenya: Wizara ya kilimo Kenya yafuta uagiziaji wa mahindi na mchele

Wizara ya kilimo nchini Kenya imefuta uagiziaji wa magunia 550,000 ya mahindi na 20,000 ya mchele. Awali halmashauri ya nafaka nchini humo ilikuwa imeweka tangazo la kuagiza kutoka nje bidhaa hizo. Mkurungezi wa More...

By jerome On Tuesday, November 7th, 2017
0 Comments

Serikali:Watumishi wana sababu ya kutabasamu mwezi huu

Watumishi wa umma nchini Tanzania mwezi huu watapewa nyongeza ya mwaka ya mishahara yao, Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi amesema hayo. Akizungumza na vyombo vya habari, Dk Abbasi amesema nyongeza hiyo More...

By jerome On Tuesday, November 7th, 2017
0 Comments

Kenya: Duka la Tuskys limeanza kurejesha bidhaa katika duka la Nakumatt

Duka la Tusky limethibitisha mipango ya kusaidia kufufua duka la Nakumatt kupitia mkakati wa kurejesha bidhaa katika duka hilo. Programu hii ya kipekee ina lengo la kutoa jukwaa la msaada kwa Duka la Nakumatt kabla More...

By jerome On Friday, November 3rd, 2017
0 Comments

MOROGORO WAPOKEA MSIMU WA TIGO FIESTA JUMAMOSI HII KUKIWASHA

Licha ya Mkoa wa MOROGORO kuwa na viwanda vingi vya Sukari kama KILOMBERO,MTIBWA na kile cha KILOSA bado mkoa huo umeweka mkakati wa kuongeza viwanda zaidi vya uzalishaji wa Sukari.     Licha ya Mkoa More...

By jerome On Friday, November 3rd, 2017
0 Comments

AGIZO LA MKUU WA MKOA KWA TANESCO

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, PAUL MAKONDA amelitaka Shirika la Ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuwa na mpango mkakati wa kuhakikisha Taasisi zote za umma Jijini Dar es salaam zinakuwa na umeme wa uhakika More...

By jerome On Wednesday, November 1st, 2017
0 Comments

Mahindi yaadimika mkoani Dodoma

Uhaba wa Mvua katika msimu wa kilimo wa mwaka 2016-2017 Umesababisha kuadimika kwa zao la MAHINDI Mkoani DODOMA na kupeleka bei ya zao hilo kupanda maradufu. Majuma mawili yaliyopita wakati Msimu wa TIGO FIESTA More...

By jerome On Wednesday, November 1st, 2017
0 Comments

Yusuf Manji kwenye mazungumzo kununua Nakumatt Tanzania

Mfanyabiashara tajiri wa Tanzania Yusuf Manji ametajwa kama mmoja wa watu wnaaopania kununua maduka ya Nakumatt Tanzania. Nakumatt Tanzania inadaiwa karibu dola milioni 380 na watu walioiuzia bidhaa na imekuwa More...