HARAKISHENI MCHAKATO WA KURIDHIA MKATABA WA KUPUNGUZA MATUMIZI YA ZEBAKI

NA JAMES LYATUU   Tanzania imeshauriwa kuharakisha Mchakato wa kuridhia mkataba wa Minamata wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwenye machimbo madogo ya dhahabu kutokana na kemikali hiyo kuhatarisha maisha ya wananchi wanaozunguka migodi. Hatua hiyo imekuja baada ya utafiti mpya uliofanyika kubaini uchafuzi wa mazingira utokanao na Zebaki katika machimbo More...

by jerome | Published 2 months ago
By jerome On Friday, March 3rd, 2017
0 Comments

MBEYA YAWATAKA WATUMISHI KUHAKIKI WAWEKEZAJI

NA THOMSON MPANJI   SERIKALI mkoani mbeya imewaagiza watendaji wake kuhakikisha wanafanayakazi kwa utiifu,uaminifuu na kuzingatia uzalendo wanapofanyakazi ya kuhakiki uzalishaji mali wa wawekezaji ili kuhakikisha More...

By jerome On Thursday, March 2nd, 2017
0 Comments

Wadau wa Korosho Wazitaka Halmashauri Kutenga Maeneo ya Viwanda

Na Komeni Jr – Mtwara Kikao cha wadau wa zao la korosho kimezitaka halmashari za mikoa Mitano inayolima zao hilo kutenga maeneo ya ujenzi wa viwanda pamoja na kuingia ubia na sekta binafsi. Hiyo ni Katika More...

By jerome On Wednesday, March 1st, 2017
0 Comments

UKIKUTWA NA VIROBA IMEKULA KWAKO.

  Serikali imetangaza kuanza kwa Oparesheni ya kukagua utekelezaji wa agizo la marufuku Utengenezaji na uuzaji wa pombe aina ya Viroba Nchi nzima kuanzia Machi 02 Mwaka huu huu. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu More...

By jerome On Friday, February 24th, 2017
0 Comments

VIJANA WAHIMIZWA KUTUMIA VIZURI SEKTA ZA KIFEDHA.

Serikali imekuwa ikizihimiza Sekta za Fedha kuhakikisha zinatoa mchango mkubwa ikiwemo elimu kwa jamii namna bora ambavyo zinaweza kutumika kuninua uchumi wa kila mwananchi na taifa kwa ujumla. Katika kutekeleza More...

By jerome On Wednesday, February 22nd, 2017
0 Comments

KILIO CHA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO

Baadhi ya Wakulima wa Miwa kutoka katika Wilaya ya KILOMBERO Mkoani MOROGORO wameiomba Serikali kuingilia kati suala la vyama vyao kutowashirikisha kwenye maamuzi mbalimbali ya msingi. Kuna msemo usemao ukiona mtu More...

By jerome On Friday, February 17th, 2017
0 Comments

WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAKARIBISHWA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA VIWANDA NCHINI

Serikali imewataka wawekezaji kutoka nchini INDIA kuhakikisha wanatazama namna ya kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya dawa ili kupunguza  tatizo la ulanguzi wa dawa unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara. Takwimu More...

By jerome On Thursday, February 16th, 2017
0 Comments

HALOTEL YATENGA BILLION 200 KUIMARISHA MTANDAO WAKE

NA RWIZA GEDIUS.       Mara nyingi watumiaji wa simu za mkononi waliopo mijini ndio wamekuwa wakionekana kupewa kipaumbele huku wanaoishi Vijijini wakionekana kukosa mawasiliano ya kutosha licha ya More...

By jerome On Friday, January 20th, 2017
0 Comments

WAKULIMA WA KOROSHO NACHINGWEA WALIA KUCHELEWESHEWA MALIPO YAO.

Wakulima wa zao la korosho  kijiji cha Mbondo  Kata ya Mbondo Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi wamelalamikia kucheleweshwea fedha za za malipo, huku baadhi yao wakidai kurejeshewa korosho zao na kutupia lawama More...