Bei ya jumla ya maharage imeshuka katika mikoa mingi nchini Tanzania.

Haya ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya kila wiki iliyotolewa na Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji ambayo imeonesha kuwa bei ya jumla ya maharage imeshuka katika mikoa mingi kwa wastani wa asilimia 30 ,kutokana na mavuno mazuri. Ripoti hiyo inaonesha kuwa mkoa wa Arusha umeandikisha bei ya chini zaidi ya maharage ambapo gunia la kilo 100 liliuzwa More...

Tanzania Mafisa wapinga marufuku karoti kutoka kenya
Mkuu mpya wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametangaza kupigwa marufuku kwa karoti kutoka kenya ili kulinda wazalishaji wa ndani kutoka kwa ushindani. Aidha amesema wakulima wote wa karoti watasimama katika barabara More...

UberBoat: Kampuni ya Uber kuanzisha usafiri wa boti Tanzania
Kampuni ya huduma za usafiri inayotumia programu tumishi Uber imetangaza mpango wa kuanzisha huduma za boti Tanzania. Kampuni hiyo kufikia sasa imekuwa ikitoa huduma za usafiri kupitia magari na bajaji. Huduma More...

Tanzania imeongeza asilimia 25 ya kodi ya uagizaji sukari ya Uganda
Tanzania imeongeza asilimia 25 ya kodi kwa Uagizaji wa sukari ya Uganda kinyume na Itifaki ya Soko la Pamoja la Afrika Mashariki, ambalo linapendekeza kusitozwe kodi kwa bidhaa zinazotengenezwa ndani ya kanda. Itifaki More...

Rwanda yakosa samaki wa kuuza DRC
Uganda na Tanzania zimetwaa soko la samaki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambalo awali lilikuwa linatawaliwa na Rwanda. Sasa Rwanda haina samaki wa kutosha wa kutosheleza soko hilo. DRC ina soko kubwa More...

Wanawake kukuza utalii wa ndani Tanzania
Wanawake katika Utalii Tanzania (AWOTTA) wameshirikiana na Chama cha Wafanyabiashara wa Tanzania (TWCC) kuanzisha maonyesho ya utalii ili kupiga jeki utalii wa ndani. Hatua mpya ya kukuza utalii wa ndani, kwa kuzingatia More...

Kenya yatarajiwa mavuno ya chini ya kahawa msimu huu
Wafanyabiashara wa kahawa wameonyesha wasiwasi juu ya kemikali ya kilimo inayouzwa katika soko. Wakulima wanasema walinyunyiza dawa za wadudu kwa kahawa na kuweka mbolea kama inavyotakiwa lakini mazao msimu huu More...

Tanzania inalitumia soko la Oman kwa kiasi kidogo sana kuuza bidhaa ndani ya nchi hiyo
Licha ya Nchi ya Oman kuagiza bidhaa nyingi Zaidi za chakula kutoka nchi za nje, bado Tanzania inalitumia soko la Oman kwa kiasi kidogo sana kuuza bidhaa ndani ya nchi hio. Akiongea wakati wa uzinduzi wa More...

Uchumi wa Kenya, Uganda unategemea kilimo kukua
Uchumi wa Kenya na Uganda katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu, imeongezeka kwa asilimia 10 kutoka 2017. Kenya imesema uchumi wake uliongezeka kwa asilimia 5.7 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2018, ikilinganishwa More...

Shirika la Reli Tanzania lafungua biashara Uganda
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limepania kurahisisha usafirishaji wa mizigo katika ukanda wa Afrika Mashariki na nchi nyingine za karibu. Wiki iliyopita TRC ilirejesha safari za treni za mizigo kutoka Tanzania More...