BILL NA MELLINDA GATES WAMETENGA BILIONI 777.084 KUISAIDIA TANZANIA

  Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 sawa na takribani Shilingi Bilioni 777.084 za Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo, afya na mifumo ya kielektroniki ya upatikanaji wa taarifa. Mwenyekiti Mwenza wa taasisi hiyo Bw. Bill Gates amesema hayo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam More...

by jerome | Published 2 weeks ago
By jerome On Thursday, August 3rd, 2017
0 Comments

RAIA WA RWANDA WANAOISHI NJE YA NCHI HIYO WAPIGA KURA YA URAIS

Raia wa Rwanda wanaoishi nje ya Taifa hilo wanashiriki katika zoezi la uchaguzi wa Uraisi leo kabla ya raia wa Taifa hilo kushiriki rasmi katika zoezi hilo kesho Ijumaa nchini humo. Tayari raia wa Rwanda wanaoishi More...

By jerome On Thursday, July 20th, 2017
0 Comments

TUME YA UCHAGUZI KENYA YASHINDA RUFAA

Mahakama ya Rufaa nchini Kenya, imebatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokuwa umefuta kandarasi ya kupiga chapa karatasi za kura za urais kufuatia kesi iliyokuwa imewasilishwa na muungano wa upinzani. Majaji wa More...

By jerome On Thursday, June 22nd, 2017
0 Comments

IRAQ YALAANI IS KULIPUA MSIKITI MKONGWE WA MOSUL

Waziri mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amesema kundi la kigaidi la IS limeulipua Msikiti wa kihistoria wa mji wa Mosul uliojengwa zaidi ya miaka 800 iliyopita kuzuia nguvu ya vikosi vya Serikali Jeshi nchini Iraq More...

By jerome On Thursday, June 8th, 2017
0 Comments

MKURUGENZI WA ZAMANI WA FBI KUTOA USHAHIDI LEO

Mkurugenzi wa zamani wa shirika la ujasusi la FBI, James Comey anatazamia kutoa ushahidi Alhamisi hii mbele ya bunge la Congress kuhusu uwezekano wa Urusi kuingilia katika kampeni za uchaguzi wa Marekani, na uhusiano More...

By jerome On Thursday, May 4th, 2017
0 Comments

RAIS ZUMA AFUNGUA MKUTANO WA UCHUMI, WAANDAMANAJI BADO WAMTAKA ATOKE

Mkutano mkubwa wa uchumi kwa Nchi za AFRICA umeanza leo Jijini Durban Nchini Africa kusini na kufunguliwa na Rais Jacob Zuma, ambaye anatupiwa lawama na wananchi wa Taifa hilo kuwatumbukiza katika wimbi a Umaskini. Licha More...

By jerome On Thursday, May 4th, 2017
0 Comments

NYOTA YA WAZIRI MDOGO ZAIDI SOMALIA YAZIMWA, BAADA YA KUUWAWA

Wananchi wa Somalia hawatamsahau Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini humo ambaye sasa hawatamuona tena baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu. Abas Abdullahi Sheikh Siraji kiongozi kijana aliyekuwa More...

By jerome On Friday, March 24th, 2017
0 Comments

MUBARAK AACHIWA HURU!

Aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak ameripotiwa kuachiliwa huru baada ya kuhudumia miaka jela kufuatia maandamano yaliomng’atuwa mamlakani 2011. Bwana Mubarak alikuwa akizuiliwa katika hospitali ya kijeshi More...

By jerome On Thursday, March 23rd, 2017
0 Comments

NAPE AVUNJA UKIMYA

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo NAPE NNAUYE ambaye ameondolewa madarakani na Rais JOHN MAGUFULI amevunja ukimya na   More...

By jerome On Friday, March 17th, 2017
0 Comments

MKAZI WA KIJIJI CHA ISENGULE MKOANI KATAVI FATUMA ISSA (22) AJIFUNGUA WATOTO WANNE

Watoto wanne walizaliwa  na  mwanamke   aitwaye  Fatuma  Issa  22   Mkazi wa   Kijiji  cha  Isengule  Tarafa ya  Karema   mwambao  mwa  Ziwa   Tanganyika  Wilaya  ya  Tanganyika  Mkoa More...