MWANAMKE WA MIAKA 40 AJIOA MWENYEWE NCHINI ITALIA

Mwanamke moja nchini Italia amejioa yeye mwenyewe kwenye sherehe iliyokuwa na vazi kamili la harusi, keki na wageni 70. “Ninaamini kuwa kila mmoja wetu ni lazima ajipende,” alisema Luara Mesi mwenye miaka 40 Wanaounga mkono ndoa kama hizo wanasema kuwa suala kuu ni kujipenda. Laura anasema kuwa suala la kujioa lilimkujia miaka miwili iliyopita, More...

by jerome | Published 2 years ago
By jerome On Friday, September 8th, 2017
0 Comments

MWANAMKE ALIYEKUWA AMEKARIBIA KUJIFUNGUA AJIUA CHINA

Mitandao ya kijamii nchini China inajibu kwa mshangao na kutamaushwa, baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa mjamzito kujiua kutokana na madai kuwa familia yake ilikataa kumruhusu ajifungue kwa njia ya upasuaji. Mwanamke More...

By jerome On Tuesday, August 15th, 2017
0 Comments

Ajuza ambaye amehitimu shahada akiwa na miaka 91

Ajuza mweye umri wa miaka 91 kutoka nchini Thailand amepata shahada yake baada ya masomo yaliyomchukua karibu miaka 10. Kimlan Jinakul amekuwa na ndoto wa kujiunga na chuo kikuu tangu awe mtoto lakini hakupata More...

By jerome On Tuesday, June 6th, 2017
0 Comments

Mwanaume anayedai kufunga kula miaka 28 mfululizo

Mwanamume mmoja raia wa Uturuki anadai kufunga kula kwa takriban siku  9,845  mfululizo bila ya kuacha hata siku moja . Osman Ay ni mkaazi wa mkoa wa Kocaeli Magharibi mwa Uturuki. Ay ni mwanamume wa umri wa More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Maskini watumia pesa kununua sigara badala ya chakula, dawa na elimu- WHO

Matumizi ya tumbaku ni tishio kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, taifa na hata kanda mbalimbali, limesema shirika la afya ulimwenguni WHO hii leo katika maadhimisho ya siku ya kupiga marufuku matumizi ya tumbaku. Mathalani More...

By jerome On Monday, January 16th, 2017
0 Comments

MGUU ULIOKATWA WAFUNGULIWA AKANTI YA INSTAGRAM.

Mwanamke mmoja ambaye aliwashawishi madaktari kumkubalia kuhifadhi mguu wake uliokatwa, ameanzisha akaunti ya Instagram ya mguu huo. Kristi Loyall mwenye umri wa miaka 25 alipatikana na aina nadra sana ya saratani More...

By jerome On Monday, January 16th, 2017
0 Comments

NDEGE YA UTURUKI YAANGUKIA NYUMBA ZA WATU.

Watu zaidi ya 32 wamefariki baada ya ndege ya kubeba mizigo ya Uturuki, iliyokuwa safarini kutoka Hong Kong, kuangukia nyumba za watu karibu na mji wa Bishkek nchini Kyrgyzstan. Wengi wa walioangamia ni watu waliokuwa More...

By Mohamed SAWILA On Friday, January 22nd, 2016
0 Comments

HISTORIA YA MWANAHARAKATI STEVE BIKO

Na Austin Beyad Tukizungumzia mwanaharakati wa haki za watu weusi wengi wanajua bishop desmond tutu, Nelson Mandela, Winnie Mandela na wengine wengi ambao walishiriki katika harakati za ukombozi wa watu weusi nchini More...

By Mohamed SAWILA On Thursday, January 21st, 2016
0 Comments

JE, WAJUA KUHUSU MTO AMAZON?

Na Austin Beyad Mto Amazon ni mto mkubwa duniani. una chanzo chake katika milima ya Andes inavuka beseni yake hadi Atlantiki kupitia eneo kubwa la misitu minene. Sehemu kubwa ya mwendo wake iko katika nchi ya Brazil. More...

By Mohamed SAWILA On Thursday, January 14th, 2016
0 Comments

LIBERIA NI MOJA YA NCHI AMBAZO HAZIKUTAWALIWA NA NCHI ZA ULAYA

Na Austin Beyadi, Nchi ya Liberia ni moja ya nchi chache za kiafrika ambazo hazijatawaliwa na watu wa Ulaya, Badala yake, nchi hii ya Liberia ilikuwa ni makao ya watumwa waliorudishwa kutoka nchini Marekani baada More...