BLAC CHYNA AISHTAKI FAMILIA YA KARDASHIAN

Blac Chyna anaishtaki familia ya The Kardashian kwa madai kwamba ndio iliosababisha kufutiliwa mbali kwa kipindi chake cha Runinga. Anadai kwamba familia hiyo inataka kumharibia. Wakili wa Blac Chyna aliithibitishia BBC kwamba Kris Jenner ametajwa kama mtetezi katika kesi hiyo pamoja na Kourtney, Kim na Khloe Kardashian mbali na Kendall na Kylie Jenner. Mwakilishi More...

by jerome | Published 2 days ago
By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Kufanya kazi ndogo ndogo ya nyumbani kunaweza kuboresha maisha ya wazee.

Kubeba bidhaa waliyonunua, kufanya ukulima kidogo kwenye bustani na kusafisha nyumba kunaweza kuwasaidia watu wazee kuwa na maisha marefu yenye afya, kulingana na wataalamu wa afya. Madaktari wanasema kuwa mamilioni More...

By jerome On Friday, September 29th, 2017
0 Comments

MWANAMKE WA MIAKA 40 AJIOA MWENYEWE NCHINI ITALIA

Mwanamke moja nchini Italia amejioa yeye mwenyewe kwenye sherehe iliyokuwa na vazi kamili la harusi, keki na wageni 70. “Ninaamini kuwa kila mmoja wetu ni lazima ajipende,” alisema Luara Mesi mwenye More...

By jerome On Friday, September 8th, 2017
0 Comments

MWANAMKE ALIYEKUWA AMEKARIBIA KUJIFUNGUA AJIUA CHINA

Mitandao ya kijamii nchini China inajibu kwa mshangao na kutamaushwa, baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa mjamzito kujiua kutokana na madai kuwa familia yake ilikataa kumruhusu ajifungue kwa njia ya upasuaji. Mwanamke More...

By jerome On Tuesday, August 15th, 2017
0 Comments

Ajuza ambaye amehitimu shahada akiwa na miaka 91

Ajuza mweye umri wa miaka 91 kutoka nchini Thailand amepata shahada yake baada ya masomo yaliyomchukua karibu miaka 10. Kimlan Jinakul amekuwa na ndoto wa kujiunga na chuo kikuu tangu awe mtoto lakini hakupata More...

By jerome On Tuesday, June 6th, 2017
0 Comments

Mwanaume anayedai kufunga kula miaka 28 mfululizo

Mwanamume mmoja raia wa Uturuki anadai kufunga kula kwa takriban siku  9,845  mfululizo bila ya kuacha hata siku moja . Osman Ay ni mkaazi wa mkoa wa Kocaeli Magharibi mwa Uturuki. Ay ni mwanamume wa umri wa More...

By jerome On Wednesday, May 31st, 2017
0 Comments

Maskini watumia pesa kununua sigara badala ya chakula, dawa na elimu- WHO

Matumizi ya tumbaku ni tishio kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, taifa na hata kanda mbalimbali, limesema shirika la afya ulimwenguni WHO hii leo katika maadhimisho ya siku ya kupiga marufuku matumizi ya tumbaku. Mathalani More...

By jerome On Monday, January 16th, 2017
0 Comments

MGUU ULIOKATWA WAFUNGULIWA AKANTI YA INSTAGRAM.

Mwanamke mmoja ambaye aliwashawishi madaktari kumkubalia kuhifadhi mguu wake uliokatwa, ameanzisha akaunti ya Instagram ya mguu huo. Kristi Loyall mwenye umri wa miaka 25 alipatikana na aina nadra sana ya saratani More...

By jerome On Monday, January 16th, 2017
0 Comments

NDEGE YA UTURUKI YAANGUKIA NYUMBA ZA WATU.

Watu zaidi ya 32 wamefariki baada ya ndege ya kubeba mizigo ya Uturuki, iliyokuwa safarini kutoka Hong Kong, kuangukia nyumba za watu karibu na mji wa Bishkek nchini Kyrgyzstan. Wengi wa walioangamia ni watu waliokuwa More...

By Mohamed SAWILA On Friday, January 22nd, 2016
0 Comments

HISTORIA YA MWANAHARAKATI STEVE BIKO

Na Austin Beyad Tukizungumzia mwanaharakati wa haki za watu weusi wengi wanajua bishop desmond tutu, Nelson Mandela, Winnie Mandela na wengine wengi ambao walishiriki katika harakati za ukombozi wa watu weusi nchini More...