tamimu adamu

This user hasn't shared any profile information

By tamimu adamu On Wednesday, January 13th, 2016
0 Comments

KATIBU MKUU WA FIFA VALCKE AVULIWA MADARAKA

Katibu mkuu wa Shirikisho la soka duniani Fifa aliyekuwa amesimamishwa kazi JEROME VALCKE ameondolewa rasmi kutoka kwenye wadhifa huo na shirikisho hilo. Mfaransa huyo, 55, kwa sasa amesimamishwa kujihusisha na More...

By tamimu adamu On Wednesday, January 13th, 2016
0 Comments

WAZIRI MKUU IVORY COAST DUNCAN ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

Waziri Mkuu wa Serikali ya Ivory Coast DANIEL KABLAN DUNCAN aliyeyoomba kujiuzulu na baadae kuchaguliwa tena na Rais kuendelea na wadhifa huo, ametangaza baraza jipya la mawaziri. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais AMADOU More...

By tamimu adamu On Monday, January 11th, 2016
0 Comments

CUF YAPINGA KURUDIWA UCHAGUZI ZANZIBAR

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitakubali marudio ya uchaguzi wa urais visiwani Zanzibar. Chama hicho kupitia taarifa kwa wanahabari kimesema hakuna “hoja wala msingi wa kikatiba na kisheria wa uchaguzi kurudiwa”. Taarifa More...

By tamimu adamu On Friday, January 8th, 2016
0 Comments

YANGA YATINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP

Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga, imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali kufuatia ushindi wa Bao 2-1 dhidi ya Mtibwa mabao ambayo yamefungwa na wachezaji Aboubakar na Malimi Busungu na kuwa kinara wa kundi More...

By tamimu adamu On Thursday, January 7th, 2016
0 Comments

BOSI WA LAKERS MITCH KUPCHAK AMTABIRIA KOBE BRYANT MSIMU MZURI

Mtendaji mkuu wa timu ya mpira wa kikapu ya Lakers inayoshiriki Ligi ya NBA ya nchini MAREKANI MITCH KUPCHAK amesema kuwa msimu wa mwaka 2015/16 ni msimu wa nyota wa timu hiyo KOBE BRYANT kiasi cha timu hiyo kushindwa More...

By tamimu adamu On Thursday, January 7th, 2016
0 Comments

LIVERPOOL MBIONI KUMSAJILI ANDREA RANOCCHIA.

Baada ya kukumbwa na wimbi kubwa sana la wachezaji majeruhi,hatimaye klabu ya Liverpool kupitia kwa kocha wake Jurgen Klopp inataka kufanya usajili wa beki wa kati wa klabu ya Inter Milan na timu ya Taifa ya Italia More...

By tamimu adamu On Thursday, January 7th, 2016
0 Comments

MAKAMU WA RAIS AAGIZA UONGOZI WA MKOA WA GEITA KUMALIZA MALALAMIKO YA WANANCHI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameitaka Wizara ya nishati na madini kuhakikisha inapata ufumbuzi wa malalamiko ya wakazi wa mkoa wa GEITA wanaotaka kuachiwa baadhi maeneo yenye More...

By tamimu adamu On Thursday, January 7th, 2016
0 Comments

KAIMU AFISA BIASHARA MANISPAA YA ILALA ASIMAMISHWA KAZI KWA KOSA UBADHIRIFU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI  George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kumsimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Ilala Bw. Dennis. N. Mrema kuanzia leo tarehe More...

By tamimu adamu On Thursday, January 7th, 2016
0 Comments

MTOTO WA MIAKA TISA AFANYIWA UKATILI SHINYANGA

Vitendo vya ukatili kwa watoto wakike bado vinaendelea mkoani shinyanga ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto mwenye umri wa miaka tisa amechomwa mdomo na dada yake kwa madai kuwa anatembea na  mume wake. Tukio More...

By tamimu adamu On Thursday, January 7th, 2016
0 Comments

WATUMISHI WA UMMA TISA WASIMAMISHWA KAZI KWA UBADHIRIFU KIGOMA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI, imewasimamisha kazi kuanzia jana Januari 6, 2016 wafanyakazi tisa wa serikali kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa mali za umma na matumizi More...