tamimu adamu

This user hasn't shared any profile information

By tamimu adamu On Thursday, January 21st, 2016
0 Comments

REAL MADRID YAONGOZA KIMAPATO

Klabu ya Real Madrid imekuwa namba moja kwa kuingiza mapato kwa mwaka wa 11 mfululizo kwa mujibu wa Deloitte. Klabu hiyo ilipata euro 577m (£439m) msimu wa 2014-15. Mabingwa wa Klabu Bingwa Ulaya Barcelona wanashikilia More...

By tamimu adamu On Tuesday, January 19th, 2016
0 Comments

UMOJA WA MATAIFA WATOA RAI KWA DUNIA KUSAIDIA SOMALIA

Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutoa misaada yametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuipa msaada wa takriban dola Milioni 885 kuwasaidia zaidi ya watu milioni tano wanaohitaji misaada ya chakula nchini Somalia. Miongoni More...

By tamimu adamu On Tuesday, January 19th, 2016
0 Comments

KONTA AMBWAGA VENUS WILLIAMS KATIKA TENISI

Mchezaji nyota wa tenisi kutoka Uingereza JOHANNA KONTA amemshinda VENUS WILLIAMS 6-4 6-2 na kufika raundi ya pili ya shindano la tenisi la Australian Open mjini Melbourne. KONTA, 24, alipata ushindi kwa kutumia More...

By tamimu adamu On Monday, January 18th, 2016
0 Comments

WAHANGA 22 WA SHAMBULIZI KWENYE HOTELI NCHINI BURKINA FASO WATAMBULIWA

Watu 22 kati ya 29 waliouawa kwenye shambulizi lililotokea ijumaa kwenye hoteli ya Splendid mjini Ouagadougou, nchini Burkina Faso wametambuliwa. Kwa mujibu wa Waziri wa usalama wa nchi hiyo SIMON COMPAORE amesema, More...

By tamimu adamu On Monday, January 18th, 2016
0 Comments

MAREKANI YAONGEZA VIKWAZO KWA IRAN

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran HOSSEIN JABER ANSARI amesema, vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Iran si halali na wala si vya haki. Wizara ya fedha ya Marekani imetangaza kuwekea vikwazo More...

By tamimu adamu On Monday, January 18th, 2016
0 Comments

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TAA AFARIKI DUNIA

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania(TAA)Mhandisi SULEIMAN SAID amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea,kwamujibu wa taarifa zilizopatikana ni kuwa Suleiman alikimbizwa More...

By tamimu adamu On Friday, January 15th, 2016
0 Comments

SERIKALI YAAHIDI KUWASHUGHULIKIA WAWEKEZAJI WASIOENDELEZA RANCHI

SERIKALI imesema itawachukulia hatua stahiki wawekezaji waliopewa maeneo ya ranchi kwa ajili ya kuendeleza sekta ya mifugo, badala yake wao wanatumia ranchi hizo kukodisha wafugaji kinyume na makubaliano baina yao More...

By tamimu adamu On Friday, January 15th, 2016
0 Comments

MASHINDANO YA CHAN KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO

Michuano ya nne ya kombe la chan kwa 2016 itaanza kutimua vumbi kesho huko nchini Rwanda. Michuano hii ya Chan inashirikisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani tu, huku mataifa kumi na sita yakichuana kuwania ubingwa More...

By tamimu adamu On Thursday, January 14th, 2016
0 Comments

CHAMA CHA ZANU PF CHAPUUZA UVUMI KUHUSU AFYA YA RAIS MUGABE

Chama tawala cha ZANU-PF nchini Zimbabwe kimepuuza mbali uvumi ulionezwa kuwa hali ya afya ya Rais wa nchi hiyo ROBERT MUGABE ni mbaya. Ofisi ya Rais MUGABE imesema, kiongozi huyo hana saratani ya kibofu cha mkojo, More...

By tamimu adamu On Wednesday, January 13th, 2016
0 Comments

IRAN YAWAACHILIA HURU WANAMAJI WA MAREKANI

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran limethibitisha kuziachia Boti mbili za Jeshi la Majini la Marekani zilizokuwa zimeshikiliwa kwa kuingia katika maji ya nchi hiyo kinyume cha sheria. Taarifa More...