sophia kessy

This user hasn't shared any profile information

By sophia kessy On Monday, November 9th, 2015
0 Comments

RAIS DKT JOHN MAGUFILI AKIZUNGUMZA LEO WAKATI WA ZIARA YA GHAFLA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MUHIMBILI .  More...

By sophia kessy On Monday, November 9th, 2015
0 Comments

KATIBU MKUU KIONGOZI OMBENI SEFUE AZUNGUMZIA ZIARA YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI MUHIMBILI

BAADA YA KUFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MUHIMBILI LEO,RAIS DKT MAGUFULI AMEVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI HIYO NA KUTEUA UONGOZI MPYA HABARI ZAIDI ZITAKUFIKIA.  More...

By sophia kessy On Monday, November 9th, 2015
0 Comments

BAADHI YA WASOMI WATOA MATARAJIO YA SIFA ZA WAZIRI MKUU AJAE.

Baadhi ya wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wametoa maoni na mapendekezo yao kuhusu waziri mkuu ajae huku wakieleza kuwa wanatarajia kumpata waziri mkuu mchapakazi kama alivyo Raisi wa Tanzania DR.JOHN More...

By sophia kessy On Monday, November 9th, 2015
0 Comments

DR. MAGUFULI AVUNJA BODI YA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

BAADA YA KUFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO,RAIS DKT  JOHN MAGUFULI AMEVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI HIYO NA KUTEUA UONGOZI MPYA HABARI ZAIDI ZITAKUFIKIA  More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

VIJANA NCHINI WAASWA KUWA WABUNIFU

Vijana nchini wametakiwa kuwa wabunifu na kutengeneza ajira kupitia maarifa na ujuzi walionao, badala ya kusubiri kuajiriwa, hali inayorudisha nyuma maendeleo ya vijana wengi na kujikuta wamekwama kwenye dimbwi More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

CUF YATOA TAMKO

 Baada ya tamko la jana la  Jecha Salim Jecha ambae ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kufuta uchaguzi wa Zanzibar , leo hii Chama cha wananchi (CUF) kimetoa hoja zao dhidi ya uamuzi huo. Akizungumza More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

SERIKALI YAVIONYA VYOMBO VYA HABARI

Serikali imevionya vyombo vya habari nchini,taasisi za watu binafsi pamoja na wananchi kutotangaza matokeo ya kura za urais na kubainisha kuwa jikumu hilo kisheria linmasimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC. Akizungumza More...

By sophia kessy On Friday, October 30th, 2015
0 Comments

JOHN POMBE MAGUFULI RAIS MTEULE WA AWAMAU YA TANO TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa mgombea urais wa chama cha mapinduzi CCM JOHN POMBE MAGUFULI, ametangazwa kuwa mshindi wa urais wa uchaguzi uliofanyika nchini Oktoba 25 mwaka huu. JOHN MAGUFULI anakuwa rais wa tano wa Jamhuri More...

By sophia kessy On Thursday, October 29th, 2015
0 Comments

JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA RAISI WA TANO WA TANZANIA

Hatimae  Dk JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, ametangazwa kuwa  Raisi wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania, baada ya kuongoza kwa asilimia 58.46  More...

By sophia kessy On Wednesday, October 21st, 2015
0 Comments

NETANYAU AKOSOLEWA NA VIONGOZI WA DINI.

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekosolewa baada ya kudai kuwa kiongozi wa kidini mpalestina alimshawishi aliyekuwa kiongozi wa kimla wa Ujerumani Adolf Hitler kutekeleza maauaji ya kimbari ya wayahudi. Kiongozi More...