sophia kessy

This user hasn't shared any profile information

By sophia kessy On Monday, January 4th, 2016
0 Comments

MAMALISHE MWANZA WAOMBA KUFUTWA KWA AGIZO LA KUFUGWA KWA BISHARA

Baadhi ya wafanyabiashara wa chakula maarufu kama mama lishe jijini Mwanza, wameiomba serikali  ya awamu ya tano kufuta agizo la kufunga sehemu zao za biashara, kufuatia mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu kwa wale More...

By sophia kessy On Monday, January 4th, 2016
0 Comments

WATENDAJI TABORA WASHAURIWA KUWASAIDIA WAHITIMU WA JKT

Katika kuhakikisha vipaji vinaendelezwa na kuwaepusha vijana kujiingiza katika vitendo viovu, watendaji wa Halmashauri mkoani tabora wameshauriwa kuwaongoza vijana wanaomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa,JKT, More...

By sophia kessy On Monday, January 4th, 2016
0 Comments

AJALI YAUWA WANNE IRINGA

Tuanzie huko mkoani iringa ambapo Watu wanne wamefariki dunia na wengine 37 wamejeruhiwa kufuatia ajali iliohusisha basi la kampuni ya LUWINZO, lenye namba za usajili T782 AZR inayofanya safari zake kutoka Njombe More...

By sophia kessy On Friday, November 13th, 2015
0 Comments

WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA MTO MBEZI WAONYESHA HOFU YA MAFURIKO.

Wakazi waishio kando ya mto Mbezi maeneo ya Kawe Mji Mpya kata ya Kawe Mzimuni wameiomba serikali kuingilia kati ujenzi wa uzio katika mto Mbezi unaofanywa na kanisa ili kuwaepusha na mafuriko msimu wa mvua. Clouds More...

By sophia kessy On Friday, November 13th, 2015
0 Comments

ANNE MAKINDA ATOA MTAZAMO WAKE KUUSU SPIKA AJAE.

Vuguvugu kubwa limeigubika tasnia ya siasa katika kusaka nafasi ya Uspika wa Bunge ili kuliongoza Bunge la 11 ambapo wanasiasa lukuki wakiwemo wabunge wateule na wasiokuwa wabunge wamejitokeza kuwania nafasi hiyo. Tangu More...

By sophia kessy On Wednesday, November 11th, 2015
0 Comments

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA KWA WATEJA WAKE.

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel imezindua ofa maalum itakayowawezesha wateja wa Airtel Money kutuma pesa kwa marafiki na familia bure ili kurahisisha ukuaji wa uchumi hasa kuelekea katika msimu huu wa mwisho More...

By sophia kessy On Wednesday, November 11th, 2015
0 Comments

MGODI WA MADINI KUJENGWA WILAYANI ULANGA.

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye madini  ya aina mbalimbali  kama ilivyo kwa nchi za Afrika na duniani kwa ujumla  na miongoni mwa madini hayo ni  madini ya kinywe (Graphite) ambayo hutumika kwa ajili ya More...

By sophia kessy On Wednesday, November 11th, 2015
0 Comments

MAHIZA ALIA NA KUKOSEKANA KWA HOSPITALI WILAYA YA MKINGA.

MKUU wa Mkoa wa Tanga MWANTUMU MAHIZA, amesema ni jambo la aibu kwa halimashauri ya Mkinga ambayo imeanzishwa miaka sita iliyopita, kukosa hospitali ya wilaya, ambapo kwa sasa halmashauri ya wilaya ya hiyo, inategemea More...

By sophia kessy On Wednesday, November 11th, 2015
0 Comments

WATENDAJI BUKOBA WAWEKA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU.

Viongozi na watendaji mbalimbali katika manispaa ya Bukoba, wamefanya kikao na kupanga mikakati ya kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ili usiingie na kuenea, katika manispaa hiyo, kufuatia taarifa za watu wenye More...

By sophia kessy On Wednesday, November 11th, 2015
0 Comments

JESHI LA POLISI MTWARA YAKAMATA VIFAA VYA MLIPUKO.

JESHI la Polisi Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na MARINE PARK,  pamoja na Kikosi maalum cha Taifa kinachoshughulikia uhifadhi wa mazingira pamoja na bahari, wamefanikiwa kukamata vifaa mbalimbali vya milipuko vinavyotumika More...