Mohamed SAWILA

This user hasn't shared any profile information

By Mohamed SAWILA On Wednesday, January 27th, 2016
0 Comments

HUDUMA ZA USAFIRI WA TRENI ZAHAMISHIWA DODOMA

Na James Lyatuu Shirika la reli Tanzania TRL limehamishia huduma za usafiri wa treni mjini Dodoma kutoka na miundombinu ya shirika hilo kuathiriwa na mafuriko ya mvua zilizonyesha hivi karibuni. Meneja uhusiano More...

By Mohamed SAWILA On Wednesday, January 27th, 2016
0 Comments

MAHAKAMA YA ARDHI YAZUIA BOMOABOMOA KWA SIKU 60

Mahakama kuu ya Tanzania kitengo cha ardhi imetoa amri ya kuzuia zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa bonde la Kinondoni ndani ya siku 60 na kutoa kibali cha wawakilishi 7 kufungua kesi kwa niaba ya wenzao 674 ambao More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

KESI YA BOMOA BOMOA KUSIKILIZWA KESHO

Na James Lyatuu Mahakama kuu ya Tanzania kitengo cha ardhi imeahirisha hukumu ya zuio la kesi ya bomoabomoa kwa wakazi waishio maeneo ya bonde la Kinondoni kutokana hukumu ya kesi hiyo kutokamilika. Akizungumza More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

WAFANYAKAZI WALALAMIKIA KAMPUNI YA UJENZI KUWANYIMA MIKATABA

Na Rwiza Gedius  Serikali imekuwa ikisisitiza kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wa sekta binafsi ili kuweza kuongeza ajira kwa Watanzania hususani vijana ambao idadi yao inaonekana kuwa kubwa hapa nchini huku More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
1 Comment

SHERIA YA NDOA YAPINGWA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

Na Ntibashima Edward Shirika lisilo la kiserikali la Msichana Initiative, limefungua kesi ya kupinga vipengele vya Sheria vinavyotoa mwanya kwa mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 14 kwa kibali cha mahakama na More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

WAFANYABIASHARA MBAGALA WALIA NA MGAMBO

Na Aziz Kindamba Soko la MBAGARA ni miongoni mwa maeneo yenye mkusanyiko wa Wafanyabiashara wengi huku ikikadiliwa kuwa Soko hilo linahudumia zaidi ya wafanyabiashara 4,000 kwa wakati mmoja. Changamoto kubwa inayowakabili  More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

RAIS ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA NIDA

Rais wa Tanzania, DK JOHN POMBE MAGUFULI, leo ametengua uteuzi wa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa DICKSON MAIMU kuanzia. Kuondolewa kwa Mkurugenzi huyo kunafuatia kiasi cha Shilingi Bilioni More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

RAIS ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA NIDA

• Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, MheshimiwaDkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua uteuzi wa Bwana Dickson E. MAIMU, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

POLISI MKOANI TANGA WANAMSHIKILIA MTU MMOJA KWA TUHUMA ZA ULAWITI

Na Tunu Lugombe Jeshi la Polisi Mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jila la Aidan Said mwenye umri wa miaka 20 dereva wa bodaboda  mkazi wa Mwanzange kwa tuhuma za kumuingilia kinyume na maumbile More...

By Mohamed SAWILA On Monday, January 25th, 2016
0 Comments

KAMATI YA USULUHISHI MGOGORO WA BURUNDI YAKUTANISHA SERIKALI NA WAPINZANI

Na Beatrice Gerald Kamati ya Usuluhishi wa migogoro ya ndani ya Bunge la Afrika Mashariki imewakutanisha  wawakilishi serikali ya Burundi,Vyama vya upinzani na Asasi za kiraia kwa lengo la kujadili namna ya kurejesha More...