jerome

This user hasn't shared any profile information

By jerome On Tuesday, September 26th, 2017
0 Comments

Marekani yailalamikia Korea Kaskazini

Marekani imeilalamikia Korea Kaskazini, kwa kauli yake kuwa ina haki ya kuzitungua ndege za kivita za Marekani hata kama zipo nje ya anga la taifa hilo. Msemaji wa ikulu ya Marekani ya white house Sarah Huckabee More...

By jerome On Tuesday, September 26th, 2017
0 Comments

Upinzani kuandamana Kenya

Chama cha upinzani nchini Kenya NASA kimeitisha maandamano Jumanne nje ya makao makuu ya tume ya uchaguzi IEBC mjini Nairobi. Hatua hii ni ya kushinikiza kujiuzulu kwa baadhi ya maafisa wa juu wa tume hiyo walioshiriki More...

By jerome On Tuesday, September 26th, 2017
0 Comments

Wananchi watakiwa kuwa na imani na vyombo vya ulinzi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wananchi nchini kuendelea kuwa na imani kubwa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini katika kulinda Raia na mali zao. Waziri Mwigulu amesema yeye ndiye More...

By jerome On Tuesday, September 26th, 2017
0 Comments

Wauzaji maduka ya dawa Tabora watahadharishwa

Wauzaji wa maduka ya dawa za binadamu,wametahadharishwa kutothubutu kutumia dawa za Serikali baada ya kuibiwa kutoka Vituo vya Serikali kwa vile watashtakiwa na kufilisiwa. Akizindua mpango wa Bima ya Afya kwa More...

By jerome On Monday, September 25th, 2017
0 Comments

TIGO FIESTA SASA NI ZAMU YA TABORA NA KIGOMA

Msimu wa TIGO FIESTA baada ya kumalizika katika jiji la MWANZA sasa umetia nanga katika mji wa  TABORA na KIGOMA. Timu ya TIGO FIESTA leo imekutana na kamanda wa polisi mkoa wa Tabora WILBROAD MUTAFUNGWA ambaye More...

By jerome On Monday, September 25th, 2017
0 Comments

COSTECH YATAMBUA MCHANGO WA CLOUDS FM NA BENSON EUSTACE WA KAGERA

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ( COSTECH ) imetambua Mchango wa Clouds Media Group Kupitia Kituo  chake cha Radio cha CLOUDS FM kwa Kutoa Kipaumbele cha Kutangaza Habari zinazohusu Maendeleo ya Sayansi More...

By jerome On Monday, September 25th, 2017
0 Comments

SERIKALI YATANGAZA KUUNDA MALMAKA YA MAJI WILAYANI ROMBO

Serikali imetangaza kuunda Mamlaka ya Maji katika wilaya ya Rombo ili kusimamia miradi mikubwa ya maji, itakayosaidia upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa mji huo  baada ya kubaini vyanzo More...

By jerome On Monday, September 25th, 2017
0 Comments

TANROADS BUTIAMA YATAKIWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Mkuu wa mkoa wa Mara CHARLES MLINGWA  amemwagiza wakala wa barabara nchini TANROADS mkoa wa Mara kuchukua hatua za haraka kurekebisha miundombinu ya barabara katika eneo la makutano ya ziroziro  wilayani Butiama More...

By jerome On Monday, September 25th, 2017
0 Comments

WAKURDI WANASHIRIKI KURA YA MAONI KUHUSU UHURU WA ENEO HILO

Watu wa jimbo la Kurdistan nchini Iraq wanashiriki kura ya maoni kuhusu uhuru wa eneo hilo licha ya pingamizi kutoka Baghdad, mataifa jirani na jamii ya kimataifa. Wengi wanahofia kura hiyo itachochea upya vurugu More...

By jerome On Monday, September 25th, 2017
0 Comments

RAIS MAGUFULI AOMBWA KURUDISHA MCHAKATO WA KATIBA

Jukwaa la katiba Tanzania limemuomba rais DK. JOHN MAGUFULI kurudisha mchakato wa katiba mpya kwani ndio njia pekee ya kuonyesha dira ya nchi na kuyaendeleza mambo mazuri yanayofanywa na uongozi wa awamu ya tano. Profesa More...