jerome

This user hasn't shared any profile information

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

WATUMISHI 9,932 WENYE VYETI FEKI KUFUKUZWA KAZI

Rais Dkt JOHN POMBE MAGUFULI ameagiza watumishi 9,932 waliobainika kuwa na vyeti feki kufukuzwa kazi na kuwachukulia hatua za kisheria pamoja na kusitisha mishahara kwa watumishi 3,076 wanaotumia cheti kimoja kwa More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

LENGAI OLE SABAYA WA UVCCM SASA YUKO HURU

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imetoa hukumu ndogo ya kesi ya aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Arusha (UVCCM) LENGAI OLE SABAYA  kwa kumuachia huru mshitakiwa baada ya upande wa Jamuhuri kushindwa More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

KOREA KASKAZINI YALAUMIWA KWA SILAHA BANDIA

Korea kaskazini inaluamiwa kwa kuonyesha silaha bandia katika maonyesho ya hivi karibuni ya ubabe wake wa kijeshi. Afisa wa zamani wa masuala ya ujasusi amesema baadhi ya bunduki na makombora yaliyotumiwa kwenye More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

WATOZWA FAINI YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC  limewatoza faini ya jumla ya shilingi milioni 20 wawekezaji wawili wa kilimo na ufugaji  wilayani Kilolo mkoani Iringa kwa makosa ya kuendesha shughuli More...

By jerome On Friday, April 28th, 2017
0 Comments

SERIKALI YATOA RUZUKU YA MILIONI 460 KWA MIRADI 7 YA UCHIMBAJI MDOGO WA MADINI YA CHOKAA NA SHABA

  Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Milioni 460 kwa Miradi saba ya Uchimbaji Mdogo wa Madini ya Chokaa na Shaba inayomilikiwa na Vikundi pamoja na Watu Binafsi. Ruzuku Hiyo ilitolewa katika Wilaya za Uvinza, More...

By jerome On Thursday, April 27th, 2017
0 Comments

RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA YA UHAKIKI WA VYETI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kesho tarehe 28 Aprili 2017, atapokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa Umma katika Ukumbi wa Chimwaga Mkoani Dodoma. Taarifa More...

By jerome On Thursday, April 27th, 2017
0 Comments

SERIKALI KUTOWAFUMBIA MACHO MAKAMPUNI YANAYOENDELEZA VITENDO VYA UNYANYASAJI KWA VIBARUA.

Serikali imesema haitayavumilia Makampuni ya Uchimbaji Madini au  mwajiri yeyote ambaye ataonekana Kukiuka Masharti ya Sheria za Kazi, Kwa Kuendeleza Vitendo vya Unyanyasaji Kwa Vibarua au Watumishi wa Ngazi ya More...

By jerome On Thursday, April 27th, 2017
0 Comments

WAONYWA KUTOUZA HOVYO MAHINDI KUEPUKA NJAA

Serkali Imewatahadharisha wananchi Mkoani Katavi kuwa Haitahusika Kutoa Msaada wa Chakula kwa yeyote atakekumbwa na baa la njaa kutokana na wananchi kuuza Mazao ya Mahindi kwa fujo huku mengine yakiwa bado hayajakomaa. Hayo More...

By jerome On Thursday, April 27th, 2017
0 Comments

ZAO LA TUMBAKU SI NEEMA TENA MKOANI TABORA

Kilimo cha zao la Tumbaku Mkoani Tabora kimegeuka kuwa janga la uharibu wa mazingira kutokana na Wakulima kuendelea kukata miti hovyo ili kukaushia Tumbaku hiyo jambo ambalo linaleta athari kubwa kwa mkoa huo na More...

By jerome On Thursday, April 27th, 2017
0 Comments

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 53 YA MUUNGANO MJINI DODOMA

Maadhimisho ya miaka 53 ya muungano yafanyika kwa mara ya kwanza ndani ya ardhi ya mji dodoma ambapo rais magufuli ameahidi kuulinda muungano wetu.  More...