Published On: Tue, Aug 7th, 2018
Business | Post by jerome

Tanzania imeongeza asilimia 25 ya kodi ya uagizaji sukari ya Uganda

Share This
Tags

Tanzania imeongeza asilimia 25 ya kodi kwa Uagizaji wa sukari ya Uganda kinyume na Itifaki ya Soko la Pamoja la Afrika Mashariki, ambalo linapendekeza kusitozwe kodi kwa bidhaa zinazotengenezwa ndani ya kanda.

Itifaki ya Soko la Pamoja la EAC ilianza kutumika mwaka wa 2010 na asilimia 25 ya Ushuru wa uagizaji inaweza kuwa dalili ya mfumo usiofaa ambao haukubaliki kwa nchi zote za muungano.

Afrika Mashariki kwa sasa ina wanachama sita lakini dalili zinaonyesha baadhi ya nchi zimekuwa zifanya biashara kinyume na maamuzi yaliyochukuliwa na viongozi wa kikanda.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>