Published On: Tue, Aug 14th, 2018
Sports | Post by jerome

Soka, Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Sababu za kutotumia uwanja mkuu wa Taifa

Share This
Tags

Kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019 August 22 2018 Bodi ya Ligi soka Tanzania bara imetangaza mabadiliko katika ratiba ya viwanja vitakavyotumika.

Mechi za Simba na Yanga hazitachezwa katika uwanja wa taifa kutokana na wamiliki wa uwanja huo ambao ni serikali kuwa na matumizi nao.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Boniface Wambura ameeleza kuwa Wizara ya michezo imeiandikia barua bodi ya Ligi, kuwa hautaruhusiwa kutumika kuanzia August 22 hadi September 1 2018 kwa mechi za Ligi, ndiyo sababu kubwa ya kulazimika kuhamisha baadhi ya mechi ambazo sasa zitachezwa katika uwanja wa uhuru.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>