Published On: Wed, Aug 1st, 2018
Business | Post by jerome

Rwanda yakosa samaki wa kuuza DRC

Share This
Tags

Uganda na Tanzania zimetwaa soko la samaki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambalo awali lilikuwa linatawaliwa na Rwanda.

Sasa Rwanda haina samaki wa kutosha wa kutosheleza soko hilo.

DRC ina soko kubwa la samaki huku maeneo ya Kivu Kusini na Kaskazini yakinunua tani 100, 000 kwa mwaka.

Taakwimu kutoka kwa halmashauri ya kuuza nje bidhaa za kilimo nchini Rwanda (NAEB) zinaonyesha kwamba Rwanda iliuza samaki wa thamani ya dola milioni 18 mwaka 2016-2017 lakini wengi wa samaki hao walinunuliwa kwanza nchini Uganda na Tanzania kasha kuuzwa DRC.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>