Published On: Tue, Aug 14th, 2018
Sports | Post by jerome

Man United iko mbioni kumtangaza Mkurugenzi wa michezo

Share This
Tags

Klabu ya Man United iko katika mpango wa kumtangaza Mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo baada ya klabu hiyo kushindwa kufanya vyema katika dirisha kubwa la usajili

Katika mchakato huyo naibu mwenyekiti mtendaji wa United Ed Woodward atashirikiana kocha Jose Mourinho kumpata Mkurugenzi huyo wa michezo

Tayari majina matatu yanatajwa kuweza kupewa nafasi hiyo ambao ni Golikipa wa zamani wa timu hiyo muholanzi Edwin Van Der Sar

Pia yupo mkurugenzi wa michezo wa As Roma Mhispania Ramón Rodríguez Verdejo maarufu kama Monchi pamoja na Fabio Paratici

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>