Published On: Thu, Aug 16th, 2018

IGP asema haki itatendeka kwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi

Share This
Tags

Mkuu wa jeshi la polisi nchini SIMON SIRO Amesema bado wanaendelea kufuatilia na kuchunguza tukio la kuteswa na kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio cha jijini Dar es Salaa SILAS MBISE, katika uwanja wa Taifa wakati wa maadhimisho ya siku ya Simba.

Akiwa jijini Arusha IGP SIRO amesema haki itatendeka kwa upande wowote utakao bainika kukiuka sheria zilizopo.

Hata hivyo IGP SIRO ameendelea kutoa rai kwa waandishi wa habari pamoja na askari polisi kufanya kazi kwa kuheshimiana kutokana na makundi yote mawili kuwa Kioo cha jamii.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>