Date archive forAugust, 2018
By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Bei ya jumla ya maharage imeshuka katika mikoa mingi nchini Tanzania.

Haya ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya kila wiki iliyotolewa na Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji ambayo imeonesha kuwa bei ya jumla ya maharage imeshuka katika mikoa mingi kwa wastani wa asilimia 30 ,kutokana More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Kevin de Bruyne: Kiungo wa Man City aumia akifanya mazoezi

Nyota wa Manchester City Kevin de Bruyne anachunguzwa zaidi kwenye goti lake la kulia baada ya kuumia akishiriki mazoezi Jumatano. Ubaya wa jeraha hilo la kiungo huyo wa kati haujabainika kufikia sasa. Mwaka 2016, More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

UEFA Super Cup: Atletico Madrid wawashinda Real Madrid 4-2 mechi yao ya kwanza bila Cristiano Ronaldo

Real Madrid walianza maisha bila mshambuliaji wao nyota wa zamani Cristiano Ronaldo na meneja Zinedine Zidane kwa kushindwa 4-2 katika debi ya kombe la Super Cup ya Uefa na wapinzani wao wa jadi Atletico Madrid. Mabao More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Mwili wa Jonas Savimbi kufukuliwa na kupewa maziko mazuri Angola

Mwili wa aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola Jonas Savimbi utafukuliwa kabla ya mwisho wa mwaka huu ili apate kupewa maziko mazui, kwa mujibu wa chama chake cha Unita kilichonukuliwa na shirika la habari More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Mycoplasma Genitalium: Mambo muhimu kuhusu ugonjwa wa zinaa wa MGen unaokuwa sugu na kuzua wasiwasi duniani

Wataalamu maeneo mbalimbali duniani, wametoa tahadhari kuhusu ugonjwa mpya wa zinaa ambao unaonesha dalili za kutosikia dawa na kuzua wasiwasi sawa na ulioibuliwa na ugonjwa wa Ukimwi. Ugonjwa huo unafahamika kitaalamu More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Aliyekuwa rais maskini zaidi duniani akataa malipo ya uzeeni

Aliyekua rais wa Uruguay Jose Mujica, aliyejulikana kama rais maskini zaidi duniani amesema hatachukua malipo yake ya uzeeni tangu aanze kuhudumu kama seneta. Mujica aliacha kazi ya useneta mnano Jumanne, kiti More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Waziri Mwakyembe kuzungumza na watendaji wakuu TRA

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewaahidi wadau wa sekta ya filamu ¬†Mkoa wa Geita kufikisha ¬†maombi yao ya kupatiwa stika za TRA kwa kazi zao kwa watendaji wakuu wa TRA iliwaweze More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Tanapa imezindua mpango bora wa matumizi ya ardhi.

Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA limezindua mpango wa matumizi bora ya Ardhi kwenye Vijiji vinavyozunguka Hifadhi zote nchini ambapo itaanza kwenye hifadhi tatu za kaskazini mwa nchi ambazo ni Hifadhi ya Tarangire,Manyara More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

IGP asema haki itatendeka kwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi

Mkuu wa jeshi la polisi nchini SIMON SIRO Amesema bado wanaendelea kufuatilia na kuchunguza tukio la kuteswa na kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio cha jijini Dar es Salaa SILAS MBISE, katika More...

By jerome On Thursday, August 16th, 2018
0 Comments

Wanafunzi watoro wasakwa.

Serikali wilayani Muleba imeanza operesheni maalumu ya nyumba hadi nyumba kwa lengo la kuwasaka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, ambao waliacha masomo na kukimbilia visiwani kufanya shughuli za uvuvi More...