Published On: Tue, Jul 10th, 2018

Warembo 16 katika shindano la ‘Miss Burundi’ wajiondoa

Share This
Tags

Wasichana 16 kutoka mikoa ya Burundi waliokuwa wamefika kwenye fainali ya mashindano ya kumteua msichana mrembo Burundi (Miss Burundi) wamejiondoa katika shindalo hilo.

Hatua hiyo sasa inaonekana kutishia uwezekano wa kufanyika shindano hilo kwa mwaka huu 2018.

Wasichana hao katika waraka wao wamesema kuna giza kubwa katika maandalizi ya mwaka huu wakitaja mathalan ahadi za atakachotunukiwa mrembo wa kwanza na wa pili.

Mapema iliahidiwa kuwa mshindi angetunukiwa gari jipya na kupewa kiwanja chenye ukubwa wa mita mraba mia nne.

Lakini pia kuna tuzo la pesa taslim.

Hayo yote wasichana hao wamesema shirika la Burundi Event halija yaandaa.Shindano hilo la Miss Burundi limedhamiriwa kuonyesha utamaduni, uweledi na urembo wa wanawake wa Burundi.

Fainali hiyo ambayo ilipangwa kufanyika tarehe 21 Julai 2018, ime ahirishwa na shirika la Burundi event limetangaza kuwa fainali hiyo imesukumwa mbele hadi tarehe 28 Julai.

Haijawekwa wazi iwapo shirika hilo lita wateuwa wagombea wapya.

Huenda ikawa ni vigumu kutokana na muda.

Njia ya kuutanzua mzozo huu ni kufanya mazungumzo na wasichana hao kukubali kurejea ulingoni.

Lakini pia kabla ya wasichana hawa, wana kamati watano katika shindano hili walijiuzulu.

Posted By

-

Displaying 7 Comments
Have Your Say
 1. Nqvjxx says:

  speechwriters – pay for research papers essay on the help

 2. Gqrzgt says:

  buy a research paper online – professional research paper writers term papers buy

 3. Nzpwlh says:

  cheap research paper writers – buy essay paper easy essay writer

 4. Xzmsgm says:

  essay buy online – hire essay writer critical essay help

 5. Ofcigy says:

  help writing papers – pay for essay writing uk essay help sites

 6. Wynswf says:

  cialis tablet https://saleciatad.com/ buy cialis overnight delivery Eeklcj svvunk

 7. Dcbmsb says:

  cialis buy cialis cialis 40 mg cialis soft tabs Drrddp abqcva

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>