Published On: Tue, Jul 24th, 2018
Business | Post by jerome

Kenya yatarajiwa mavuno ya chini ya kahawa msimu huu

Share This
Tags

Wafanyabiashara wa kahawa wameonyesha wasiwasi juu ya kemikali ya kilimo inayouzwa katika soko.

Wakulima wanasema walinyunyiza dawa za wadudu kwa kahawa na kuweka mbolea kama inavyotakiwa lakini mazao msimu huu yameelemewa na magonjwa tofauti na hapo awali.

Imelazimu Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo Kenya kutoa ushauri kwa wakulima kuanza kuzuia kuenea kwa ugonjwa kwa zao hilo.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>