Date archive forJuly, 2018
By jerome On Tuesday, July 31st, 2018
0 Comments

Ajuza wa miaka 80 ambaye ni fundi stadi wa redio za magari Kenya

Cecilia Wangari au (Shosh) kama vile wengi wanavyomfahamu ni bibi wa miaka 80 ambaye amepata umaarufu kwa haraka hasa mjini Nairobi nchini Kenya. Kinyume na bibi wengine walio na umri sawa na wake ambao mara nyingi More...

By jerome On Tuesday, July 31st, 2018
0 Comments

Julius Kalanga Laizer: Mwanasiasa mwingine wa upinzani ahamia CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga Laizer amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Mbunge More...

By jerome On Tuesday, July 31st, 2018
0 Comments

Wagombea wakuu wa uchaguzi Zimbabwe Mnangagwa na Chamisa wote wanajiamini kupata ushindi

Huku matokeo kura zikiendelea kuhesabiwa na matokeo ya awali kutangazwa, wagombea wakuu katika uchaguzi wa Zimbabwe wametuma ujumbe wao wa twitter kila mmoja akionyesha matumaini yake yakupata ushindi. Rais Emmerson More...

By jerome On Tuesday, July 31st, 2018
0 Comments

Waziri mkuu awasimamisha kazi watumishi watatu Kasulu

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa hospitali ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa tuhuma za wizi dawa na vifaa tiba na ameahidi kuyafunga maduka yote ya dawa yanayodaiwa kununua More...

By jerome On Tuesday, July 31st, 2018
0 Comments

Mfuko Mpya wa Hifadhi ya Jamii PSSSF Kuanza Kazi Agosti Mosi Mwaka Huu

Serikali imetangaza rasmi kuanza kutumika kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumsihi wa Umma (PSSSF) kuanzia Agosti mosi mwaka huu. Akizungumza  na vyombo vya habari leo Jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya More...

By jerome On Tuesday, July 31st, 2018
0 Comments

Serikali kumnyang’anya mashamba Mohammed Enterprises.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amesema serikali imekusudia kuchukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa More...

By jerome On Thursday, July 26th, 2018
0 Comments

Madereva kufikia ukomo wa leseni za uchochoroni.

Kutokana na kukithiri kwa ajali barabarani katika maeneo mbalimbali nchini jeshi la polisi mkoani Arusha limeendelea na mpango kazi wake wa kuwajengea uwezo madereva zaidi ya 250 wanaoendesha magari ya abiria ikiwa More...

By jerome On Thursday, July 26th, 2018
0 Comments

Wahamiaji haramu wabuni mbinu mpya kupita Dodoma

Baada ya Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma Kudhibiti Usafirishwaji wa Wahamiaji Haramu wanaosafirishwa kwa kupitia Malori, wasafirishaji Wahamiaji hao wamebuni mbinu mpya ya kutumia Bodaboda na Magari yaendayo Vijijini More...

By jerome On Thursday, July 26th, 2018
0 Comments

Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi Mkuu WFP, apongezwa kwa uongozi mzuri

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. David Beasley amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa uongozi mzuri, na kwamba More...

By jerome On Thursday, July 26th, 2018
0 Comments

Man City 1-2 Liverpool: Mohamed Salah na Sadio Mane waifungia timu yao

Mohamed Salah hakupoteza wakati wowote katika ufungaji wa mabao baada ya Liverpool kutoka nyuma na kuishinda Manchester City 2-1 mjini New Jersy Marekani. Mshambuliaji huyo wa Misri , ambaye alifunga mabao 44 katika More...