Published On: Mon, Jun 11th, 2018
World | Post by jerome

TRUMP NA KIM JONG UN KUFANYA MKUTANO SINGAPORE

Share This
Tags

Rais Donald Trump wa Marekani na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, wanajitayarisha kwa mkutano wao wa kihistoria wa kesho nchini Singapore.

Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema matumaini yake ni kwamba mkutano wa viongozi hao wawili, utafanikisha silaha za nyuklia kuondoshwa katika rasi ya Korea.

Mkutano huo wa kilele utakuwa wa kwanza kati ya viongozi wakuu wa nchi hizo mbili na unatarajiwa kutoa sura ya mustakbali wa uhusiano wa mataifa hayo pamoja na hali ya baadae ya kisiasa. Trump na Kim waliwasili Singapore jana Jumapili.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>