Published On: Wed, Jun 13th, 2018
World | Post by jerome

Hariri kuonana na Putin

Share This
Tags

Waziri mkuu mteule wa Lebanon Saad Hariri atakutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Moscow leo.

Ofisi ya Hariri imesema baadaye atahudhuria mchuano wa ufunguzi wa mashidano ya kombe la dunia kesho Alhamisi kati ya wenyeji Urusi na Saudi Arabia.

Hariri ambaye anaungwa mkono na Saudi Arabia, yuko katika mazungumzo na pande za kisiasa nchini Lebanon kujaribu kuunda serikali ya mseto. Mara ya mwisho Hariri kuonana na Putin ilikuwa ni mwezi Septemba 2017, mjini Sochi.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>