Date archive forJune, 2018
By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Balozi wa Marekani nchini Estonia ajiuzulu kufuatia matamshi ya Trump

Balozi wa Marekani nchini Estonia anajiuzu kufuatia matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump kuhusu washirika wa Marekani huko Ulaya. James D Melville alisema matamshi ya Trump kuhusu Nato na EU yamechangia kujiuzulu More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Ndanda Fc kuiwekea pingamizi Singida UTD usajili wa John Tiber.

Klabu ya soka ya Ndanda FC ya mkoani Mtwara imesema inasubiri pazia la usajili lifunguliwe ili waweke pingamizi la usajili wa mchezaji wao John Tiber, aliyesajiliwa na kabu ya Singida United ya Shinyanga. Akizungumza More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Mahakama nchini yaagizwa kutumia mfumo wa kielektroniki

Jaji mkuu wa Tanzania profesa IBRAHIM HAMIS JUMA ameagiza watendaji wa mahakama kuanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika ufugaji wa mashauri mahakamani¬† ili kuboresha utoaji huduma na kuondoa mianya ya rushwa More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

NHC mna jukumu la kuwafikia watu wa chini -Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta hiyo inakua na kuwafikia watu wa kipato cha chini. Amesema ya Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Kombe la Dunia 2018: Sasa ni hatua ya mtoano

Dimba la Kombe la Dunia nchini Urusi linaingia hatua ya mtoano, ambapo katika mechi ya kwanza Ufaransa watapambana na Argentina inayoongozwa na nyota wake Lionel Messi. Kocha wa Argentina Jorge Sampaoli anapanga More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Hali tete uchaguzi ukikaribia Mexico

Wakati raia nchini Mexico wakijiandaa kwa uchaguzi mkuu kesho Jumapili, watu waishio kwenye kijiji cha Nahuatzen kilichopo katikati ya milima mashariki mwa Mexico wameendelea kufunga mitaa kwa kuwasha moto ili More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Marekani yaangazia kuwaondoa wanajeshi Ujerumani

Wizara ya ulinzi ya Marekani inaangazia uwezekano wa kuwaondoa wanajeshi wake waliopo Ujerumani baada ya Rais Donald Trump kueleza azma yake ya kuchukua hatua hiyo. Gazeti la Marekani la Washington Post limeripoti More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Shuga Shaa kufunga ndoa na mwanasesere Nigeria

Muigizaji wa Nigeria na mchekeshaji Benjamin Nwachukwu, anayejulikana na mashabiki wake kwa jina Shuga Shaa, amezua mjadala katika mji wa Lagos kwa kusema kwamba ana uhusiano na mwanasesere wa ngono kwa jina Tonto More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Roboti Sophia yapoteza mikono yake ikiwa safarini kwenda Ethiopia

Sophia, roboti maarufu mfano wa binadamu, imewasili nchini Ethiopia bila sehemu zingine za mwili wake. Mfuko uliokuwa na sehemu zingine za roboti huyo ulitoweka kwenye uwanja wa Frankfurt, hali iliyosababisha kufutwa More...

By jerome On Saturday, June 30th, 2018
0 Comments

Mali ya Yahya Jammeh kuuzwa kupitia mtandao

Serikali ya Gambia inapanga kuuza ndege za kifahari pamoja na magarai ya rais wa zamani Yahya Jammeh kwa njia ya mtandao. Nchi majirani waliingilia kati kumtimua madarakani Rais Jammeh baada ya kushindwa kwenye More...